Skip to content
Audio Bible

Mwanzo 1 Kiswahili BTK Audio Bible

Chapter Genesis 1 Language Kiswahili Bible ID SWHBTK Label BTK Catalog Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya Available audio Coverage Old Testament

Select Translation

1 Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
2 Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
3 Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
4 Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
6 Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”
7 Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Ikawa hivyo.
8 Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, “Maji yaliyopo chini ya anga na yakusanyike mahali pamoja, pawepo na nchi kavu.” Ikawa hivyo.
10 Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.
11 Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo.
12 Ardhi ikachipua mimea: Mimea itoayo mbegu kulingana na aina zake, na miti itoayo matunda yenye mbegu kulingana na aina zake. Mungu akaona ya kuwa hili ni jema.
13 Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu.
14 Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
15 nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo.
16 Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.
17 Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,
18 itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
19 Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya nne.
20 Mungu akasema, “Kuwepo na viumbe hai tele kwenye maji, nao ndege waruke juu ya dunia katika nafasi ya anga.”
21 Kwa hiyo Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini na kila kiumbe hai kiendacho majini kulingana na aina zake, na kila ndege mwenye mabawa kulingana na aina yake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
22 Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.”
23 Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano.
24 Mungu akasema, “Ardhi na itoe viumbe hai kulingana na aina zake: wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo ardhini na wanyama pori, kila mnyama kulingana na aina yake.” Ikawa hivyo.
25 Mungu akafanya wanyama pori kulingana na aina zake, wanyama wa kufugwa kulingana na aina zake, na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi kulingana na aina zake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
26 Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.”
27 Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
28 Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
29 Kisha Mungu akasema, “Nimewapa kila mche utoao mbegu juu ya uso wa dunia yote, na kila mti wenye matunda yenye mbegu ndani yake. Vitakuwa chakula chenu.
30 Nao wanyama wote wa dunia, ndege wote wa angani, na viumbe vyote viendavyo juu ya ardhi: yaani kila kiumbe chenye pumzi ya uhai, ninawapa kila mche wa kijani kuwa chakula.” Ikawa hivyo.
31 Mungu akaona vyote alivyoumba, na tazama, ilikuwa vizuri sana. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya sita.

About Genesis 1

The Bible opens with God creating the heavens and the earth in six days by the power of His word alone, moving from formless darkness to light, sky, sea, land, and every living thing. The chapter builds toward the creation of humanity — male and female, made in the image of God — and closes with God surveying all He has made and calling it very good.

Listen to Genesis 1 with verse-by-verse audio highlighting.

Study tools for Genesis 1

Cross-references, Hebrew word study, and what the Early Church wrote about Genesis 1. Tap any section to expand — or right-click any verse for the full interactive study panel.

Genesis 1 study resources: word-by-word Hebrew interlinear with Strong's numbers, 29 cross-references, 5 Early-Church citations.

Cross-references in Genesis 1 (29)

See the full cross-reference index →

Hebrew interlinear — Genesis 1:1–31 (434 words)
1
  1. בְּ/רֵאשִׁ֖יתbe./re.Shitin/ beginningH7225
  2. בָּרָ֣אba.Ra'he createdH1254
  3. אֱלֹהִ֑ים'E.lo.HimGodH430
  4. אֵ֥ת'et<obj.>H853
  5. הַ/שָּׁמַ֖יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  6. וְ/אֵ֥תve./'Etand/ <obj.>H853
  7. הָ/אָֽרֶץ\׃ha./'A.retzthe/ earthH776
2
  1. וְ/הָ/אָ֗רֶץve./ha./'A.retzand/ the/ earthH776
  2. הָיְתָ֥הha.ye.Tah<it> wasH1961
  3. תֹ֙הוּ֙to.huformlessnessH8414
  4. וָ/בֹ֔הוּva./Vo.huand/ emptinessH922
  5. וְ/חֹ֖שֶׁךְve./Cho.shekhand/ darknessH2822
  6. עַל\־'al-H5921
  7. פְּנֵ֣יpe.NeiH6440
  8. תְה֑וֹםte.HomH8415
  9. וְ/ר֣וּחַve./Ru.achand/ [the] spirit ofH7307
  10. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  11. מְרַחֶ֖פֶתme.ra.Che.fetH7363
  12. עַל\־'al-overH5921
  13. פְּנֵ֥יpe.NeiH6440
  14. הַ/מָּֽיִם\׃ha./Ma.yimthe/ watersH4325
3
  1. וַ/יֹּ֥אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  3. יְהִ֣יye.Hilet it beH1961
  4. א֑וֹר'orlightH216
  5. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  6. אֽוֹר\׃'orlightH216
4
  1. וַ/יַּ֧רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  2. אֱלֹהִ֛ים'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. הָ/א֖וֹרha./'Orthe/ lightH216
  5. כִּי\־ki-thatH3588
  6. ט֑וֹבTovH2895
  7. וַ/יַּבְדֵּ֣לva/i.yav.Deland/ he separatedH914
  8. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  9. בֵּ֥יןbeinbetweenH996
  10. הָ/א֖וֹרha./'Orthe/ lightH216
  11. וּ/בֵ֥יןu./Veinand/ betweenH996
  12. הַ/חֹֽשֶׁךְ\׃ha./Cho.shekhthe/ darknessH2822
5
  1. וַ/יִּקְרָ֨אva/i.yik.Ra'and/ he calledH7121
  2. אֱלֹהִ֤ים\׀'E.lo.HimGodH430
  3. לָ/אוֹר֙la./'Or<to> the/ lightH216
  4. י֔וֹםYomdayH3117
  5. וְ/לַ/חֹ֖שֶׁךְve./la./Cho.shekhand/ <to> the/ darknessH2822
  6. קָ֣רָאKa.ra'he calledH7121
  7. לָ֑יְלָהLai.lahnightH3915
  8. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  9. עֶ֥רֶב'E.reveveningH6153
  10. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  11. בֹ֖קֶרVo.kermorningH1242
  12. י֥וֹםYomdayH3117
  13. אֶחָֽד\׃\ \פ'e.ChadoneH259
6
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  3. יְהִ֥יye.Hilet it beH1961
  4. רָקִ֖יעַra.Ki.a'a firmamentH7549
  5. בְּ/ת֣וֹךְbe./Tokhin/ [the] middle ofH8432
  6. הַ/מָּ֑יִםha./Ma.yimthe/ watersH4325
  7. וִ/יהִ֣יvi./Hiand/ let it beH1961
  8. מַבְדִּ֔ילmav.DilseparatingH914
  9. בֵּ֥יןbeinbetweenH996
  10. מַ֖יִםMa.yimwatersH4325
  11. לָ/מָֽיִם\׃la./Ma.yimto/ watersH4325
7
  1. וַ/יַּ֣עַשׂva/i.Ya.'asand/ he madeH6213
  2. אֱלֹהִים֮'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. הָ/רָקִיעַ֒ha./ra.ki.a'the/ firmamentH7549
  5. וַ/יַּבְדֵּ֗לva/i.yav.Deland/ he separatedH914
  6. בֵּ֤יןbeinbetweenH996
  7. הַ/מַּ֙יִם֙ha./Ma.yimthe/ watersH4325
  8. אֲשֶׁר֙'a.SherwhichH834
  9. מִ/תַּ֣חַתmi./Ta.chatH8478
  10. לָ/רָקִ֔יעַla./ra.Ki.a'to the/ firmamentH7549
  11. וּ/בֵ֣יןu./Veinand/ betweenH996
  12. הַ/מַּ֔יִםha./Ma.yimthe/ watersH4325
  13. אֲשֶׁ֖ר'a.SherwhichH834
  14. מֵ/עַ֣לme./'AlH5921
  15. לָ/רָקִ֑יעַla./ra.Ki.a'<to> the/ firmamentH7549
  16. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  17. כֵֽן\׃KhensoH3651
8
  1. וַ/יִּקְרָ֧אva/i.yik.Ra'and/ he calledH7121
  2. אֱלֹהִ֛ים'E.lo.HimGodH430
  3. לָֽ/רָקִ֖יעַla./ra.Ki.a'<to> the/ firmamentH7549
  4. שָׁמָ֑יִםsha.Ma.yimheavenH8064
  5. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  6. עֶ֥רֶב'E.reveveningH6153
  7. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  8. בֹ֖קֶרVo.kermorningH1242
  9. י֥וֹםYoma dayH3117
  10. שֵׁנִֽי\׃\ \פshe.NisecondH8145
9
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  3. יִקָּו֨וּyi.ka.Vulet them gatherH6960
  4. הַ/מַּ֜יִםha./Ma.yimthe/ watersH4325
  5. מִ/תַּ֤חַתmi./Ta.chatfrom/ underH8478
  6. הַ/שָּׁמַ֙יִם֙ha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  7. אֶל\־'El-toH413
  8. מָק֣וֹםma.Koma placeH4725
  9. אֶחָ֔ד'e.ChadoneH259
  10. וְ/תֵרָאֶ֖הve./te.ra.'Ehand/ let it appearH7200
  11. הַ/יַּבָּשָׁ֑הhai./ya.ba.Shahthe/ dry groundH3004
  12. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  13. כֵֽן\׃KhensoH3651
10
  1. וַ/יִּקְרָ֨אva/i.yik.Ra'and/ he calledH7121
  2. אֱלֹהִ֤ים\׀'E.lo.HimGodH430
  3. לַ/יַּבָּשָׁה֙la/i.ya.ba.Shah<to> the/ dry groundH3004
  4. אֶ֔רֶץ'E.retzearthH776
  5. וּ/לְ/מִקְוֵ֥הu./le./mik.Vehand/ <to>/ [the] collection ofH4723
  6. הַ/מַּ֖יִםha./Ma.yimthe/ watersH4325
  7. קָרָ֣אka.Ra'he calledH7121
  8. יַמִּ֑יםya.MimseasH3220
  9. וַ/יַּ֥רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  10. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  11. כִּי\־ki-thatH3588
  12. טֽוֹב\׃TovH2895
11
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  3. תַּֽדְשֵׁ֤אtad.She'let it sproutH1876
  4. הָ/אָ֙רֶץ֙ha./'A.retzthe/ earthH776
  5. דֶּ֔שֶׁאDe.she'vegetationH1877
  6. עֵ֚שֶׂב'E.sevplant[s]H6212
  7. מַזְרִ֣יעַmaz.Ri.a'H2232
  8. זֶ֔רַעZe.ra'seedH2233
  9. עֵ֣ץ'etztree[s] ofH6086
  10. פְּרִ֞יpe.RifruitH6529
  11. עֹ֤שֶׂה'O.sehproducingH6213
  12. פְּרִי֙pe.RifruitH6529
  13. לְ/מִינ֔/וֹle./mi.N/oto/ kind/ itsH4327
  14. אֲשֶׁ֥ר'a.SherwhichH834
  15. זַרְע/וֹ\־zar.'o/v-seed/ itsH2233
  16. ב֖/וֹv/oH9033
  17. עַל\־'al-onH5921
  18. הָ/אָ֑רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  19. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  20. כֵֽן\׃KhensoH3651
12
  1. וַ/תּוֹצֵ֨אva./to.Tze'and/ <it> brought forthH3318
  2. הָ/אָ֜רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  3. דֶּ֠שֶׁאDe.she'vegetationH1877
  4. עֵ֣שֶׂב'E.sevplant[s]H6212
  5. מַזְרִ֤יעַmaz.Ri.a'H2232
  6. זֶ֙רַע֙ze.ra'seedH2233
  7. לְ/מִינֵ֔/הוּle./mi.Ne./huto/ kind/ itsH4327
  8. וְ/עֵ֧ץve./'Etzand/ tree[s]H6086
  9. עֹֽשֶׂה\־'o.seh-producingH6213
  10. פְּרִ֛יpe.RifruitH6529
  11. אֲשֶׁ֥ר'a.SherwhichH834
  12. זַרְע/וֹ\־zar.'o/v-seed/ itsH2233
  13. ב֖/וֹv/oH9033
  14. לְ/מִינֵ֑/הוּle./mi.Ne./huto/ kind/ itsH4327
  15. וַ/יַּ֥רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  16. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  17. כִּי\־ki-thatH3588
  18. טֽוֹב\׃TovH2895
13
  1. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  2. עֶ֥רֶב'E.reveveningH6153
  3. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  4. בֹ֖קֶרVo.kermorningH1242
  5. י֥וֹםYoma dayH3117
  6. שְׁלִישִֽׁי\׃\ \פshe.li.ShithirdH7992
14
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  3. יְהִ֤יye.Hilet it beH1961
  4. מְאֹרֹת֙me.'o.RotluminariesH3974
  5. בִּ/רְקִ֣יעַbi/r.Ki.a'in/ [the] firmament ofH7549
  6. הַ/שָּׁמַ֔יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  7. לְ/הַבְדִּ֕ילle./hav.Dilto/ separateH914
  8. בֵּ֥יןbeinbetweenH996
  9. הַ/יּ֖וֹםhai./Yomthe/ dayH3117
  10. וּ/בֵ֣יןu./Veinand/ betweenH996
  11. הַ/לָּ֑יְלָהha./La.ye.lahthe/ nightH3915
  12. וְ/הָי֤וּve./ha.Yuand/ they will becomeH1961
  13. לְ/אֹתֹת֙le./'o.Tot<into>/ signsH226
  14. וּ/לְ/מ֣וֹעֲדִ֔יםu./le./Mo.'a.Dimand/ <into>/ appointed timesH4150
  15. וּ/לְ/יָמִ֖יםu./le./ya.Mimand/ <into>/ daysH3117
  16. וְ/שָׁנִֽים\׃ve./sha.Nimand/ yearsH8141
15
  1. וְ/הָי֤וּve./ha.Yuand/ they will becomeH1961
  2. לִ/מְאוֹרֹת֙li/m.'o.Rot<into>/ luminariesH3974
  3. בִּ/רְקִ֣יעַbi/r.Ki.a'in/ [the] firmament ofH7549
  4. הַ/שָּׁמַ֔יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  5. לְ/הָאִ֖ירle./ha.'Irto/ give lightH215
  6. עַל\־'al-onH5921
  7. הָ/אָ֑רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  8. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  9. כֵֽן\׃KhensoH3651
16
  1. וַ/יַּ֣עַשׂva/i.Ya.'asand/ he madeH6213
  2. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. שְׁנֵ֥יshe.NeiH8147
  5. הַ/מְּאֹרֹ֖תha./me.'o.Rotthe/ luminariesH3974
  6. הַ/גְּדֹלִ֑יםha./ge.do.Lim<the>/ greatH1419
  7. אֶת\־'et-<obj.>H853
  8. הַ/מָּא֤וֹרha./ma.'orthe/ luminaryH3974
  9. הַ/גָּדֹל֙ha./ga.Dol<the>/ greatH1419
  10. לְ/מֶמְשֶׁ֣לֶתle./mem.She.letfor/ [the] dominion ofH4475
  11. הַ/יּ֔וֹםhai./Yomthe/ dayH3117
  12. וְ/אֶת\־ve./'Etand/ <obj.>H853
  13. הַ/מָּא֤וֹרha./ma.'orthe/ luminaryH3974
  14. הַ/קָּטֹן֙ha./ka.Ton<the>/ smallH6996
  15. לְ/מֶמְשֶׁ֣לֶתle./mem.She.letfor/ [the] dominion ofH4475
  16. הַ/לַּ֔יְלָהha./Lay.lahthe/ nightH3915
  17. וְ/אֵ֖תve./'Etand/ <obj.>H853
  18. הַ/כּוֹכָבִֽים\׃ha./ko.kha.Vimthe/ starsH3556
17
  1. וַ/יִּתֵּ֥ןva/i.yi.Tenand/ he setH5414
  2. אֹתָ֛/ם'o.Ta/m<obj.>/ themH853
  3. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  4. בִּ/רְקִ֣יעַbi/r.Ki.a'in/ [the] firmament ofH7549
  5. הַ/שָּׁמָ֑יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  6. לְ/הָאִ֖ירle./ha.'Irto/ give lightH215
  7. עַל\־'al-onH5921
  8. הָ/אָֽרֶץ\׃ha./'A.retzthe/ earthH776
18
  1. וְ/לִ/מְשֹׁל֙ve./li/m.Sholand/ to/ ruleH4910
  2. בַּ/יּ֣וֹםba/i.Yomover the/ dayH3117
  3. וּ/בַ/לַּ֔יְלָהu./va./Lay.lahand/ over the/ nightH3915
  4. וּֽ/לֲ/הַבְדִּ֔ילu./la./hav.Diland/ to/ separateH914
  5. בֵּ֥יןbeinbetweenH996
  6. הָ/א֖וֹרha./'Orthe/ lightH216
  7. וּ/בֵ֣יןu./Veinand/ betweenH996
  8. הַ/חֹ֑שֶׁךְha./Cho.shekhthe/ darknessH2822
  9. וַ/יַּ֥רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  10. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  11. כִּי\־ki-thatH3588
  12. טֽוֹב\׃TovH2895
19
  1. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  2. עֶ֥רֶב'E.reveveningH6153
  3. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  4. בֹ֖קֶרVo.kermorningH1242
  5. י֥וֹםYoma dayH3117
  6. רְבִיעִֽי\׃\ \פre.vi.'IfourthH7243
20
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  3. יִשְׁרְצ֣וּyish.re.Tzulet them swarmH8317
  4. הַ/מַּ֔יִםha./Ma.yimthe/ watersH4325
  5. שֶׁ֖רֶץShe.retzswarming thing[s]H8318
  6. נֶ֣פֶשׁNe.feshcreature[s]H5315
  7. חַיָּ֑הchai.YahlivingH2416
  8. וְ/עוֹף֙ve./'Ofand/ bird[s]H5775
  9. יְעוֹפֵ֣ףye.'o.Feflet it flyH5774
  10. עַל\־'al-aboveH5921
  11. הָ/אָ֔רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  12. עַל\־'al-onH5921
  13. פְּנֵ֖יpe.NeiH6440
  14. רְקִ֥יעַre.Ki.a'H7549
  15. הַ/שָּׁמָֽיִם\׃ha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
21
  1. וַ/יִּבְרָ֣אva/i.yiv.Ra'and/ he createdH1254
  2. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. הַ/תַּנִּינִ֖םha./ta.ni.Nimthe/ sea monstersH8577
  5. הַ/גְּדֹלִ֑יםha./ge.do.Lim<the>/ greatH1419
  6. וְ/אֵ֣תve./'Etand/ <obj.>H853
  7. כָּל\־kol-everyH3605
  8. נֶ֣פֶשׁNe.feshcreatureH5315
  9. הַֽ/חַיָּ֣ה\׀ha./chai.Yah<the>/ livingH2416
  10. הָֽ/רֹמֶ֡שֶׂתha./ro.Me.setwhich/ creepsH7430
  11. אֲשֶׁר֩'a.SherwhichH834
  12. שָׁרְצ֨וּsha.re.Tzuthey swarmedH8317
  13. הַ/מַּ֜יִםha./Ma.yimthe/ watersH4325
  14. לְ/מִֽינֵ/הֶ֗םle./mi.ne./Hemto/ kind/ theirH4327
  15. וְ/אֵ֨תve./'Etand/ <obj.>H853
  16. כָּל\־kol-everyH3605
  17. ע֤וֹףofbird ofH5775
  18. כָּנָף֙ka.NafwingH3671
  19. לְ/מִינֵ֔/הוּle./mi.Ne./huto/ kind/ itsH4327
  20. וַ/יַּ֥רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  21. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  22. כִּי\־ki-thatH3588
  23. טֽוֹב\׃TovH2895
22
  1. וַ/יְבָ֧רֶךְva/y.Va.rekhand/ he blessedH1288
  2. אֹתָ֛/ם'o.Ta/m<obj.>/ themH853
  3. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  4. לֵ/אמֹ֑רle./Mor<to>/ sayingH559
  5. פְּר֣וּpe.Rube fruitfulH6509
  6. וּ/רְב֗וּu./re.Vuand/ multiplyH7235
  7. וּ/מִלְא֤וּu./mil.'Uand/ fillH4390
  8. אֶת\־'et-<obj.>H853
  9. הַ/מַּ֙יִם֙ha./Ma.yimthe/ watersH4325
  10. בַּ/יַּמִּ֔יםba/i.ya.Mimin the/ seasH3220
  11. וְ/הָ/ע֖וֹףve./ha./'ofand/ the/ bird[s]H5775
  12. יִ֥רֶבYi.revlet it multiplyH7235
  13. בָּ/אָֽרֶץ\׃ba./'A.retzon the/ earthH776
23
  1. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  2. עֶ֥רֶב'E.reveveningH6153
  3. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  4. בֹ֖קֶרVo.kermorningH1242
  5. י֥וֹםYoma dayH3117
  6. חֲמִישִֽׁי\׃\ \פcha.mi.ShififthH2549
24
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  3. תּוֹצֵ֨אto.Tze'let it produceH3318
  4. הָ/אָ֜רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  5. נֶ֤פֶשׁNe.feshcreature[s]H5315
  6. חַיָּה֙chai.YahlivingH2416
  7. לְ/מִינָ֔/הּle./mi.Na/hto/ kind/ itsH4327
  8. בְּהֵמָ֥הbe.he.MahlivestockH929
  9. וָ/רֶ֛מֶשׂva./Re.mesand/ creeping thing[s]H7431
  10. וְ/חַֽיְתוֹ\־ve./chay.tov-and/ animal[s] ofH2416
  11. אֶ֖רֶץ'E.retzH776
  12. לְ/מִינָ֑/הּle./mi.Na/hto/ kind/ itsH4327
  13. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  14. כֵֽן\׃KhensoH3651
25
  1. וַ/יַּ֣עַשׂva/i.Ya.'asand/ he madeH6213
  2. אֱלֹהִים֩'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. חַיַּ֨תchai.YatH2416
  5. הָ/אָ֜רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  6. לְ/מִינָ֗/הּle./mi.Na/hto/ kind/ itsH4327
  7. וְ/אֶת\־ve./'Etand/ <obj.>H853
  8. הַ/בְּהֵמָה֙ha./be.he.Mahthe/ livestockH929
  9. לְ/מִינָ֔/הּle./mi.Na/hto/ kind/ itsH4327
  10. וְ/אֵ֛תve./'Etand/ <obj.>H853
  11. כָּל\־kol-everyH3605
  12. רֶ֥מֶשׂRe.mes<the> creeping thing ofH7431
  13. הָֽ/אֲדָמָ֖הha./'a.da.Mahthe/ groundH127
  14. לְ/מִינֵ֑/הוּle./mi.Ne./huto/ kind/ itsH4327
  15. וַ/יַּ֥רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  16. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  17. כִּי\־ki-thatH3588
  18. טֽוֹב\׃TovH2895
26
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֔ים'E.lo.HimGodH430
  3. נַֽעֲשֶׂ֥הna.'a.Sehlet us makeH6213
  4. אָדָ֛ם'a.DamhumankindH120
  5. בְּ/צַלְמֵ֖/נוּbe./tzal.Me./nuin/ image/ ourH6754
  6. כִּ/דְמוּתֵ֑/נוּki/d.mu.Te./nuaccording to/ likeness/ ourH1823
  7. וְ/יִרְדּוּ֩ve./yir.Duand/ they may ruleH7287
  8. בִ/דְגַ֨תvi/d.Gatover/ [the] fish ofH1710
  9. הַ/יָּ֜םhai./Yamthe/ seaH3220
  10. וּ/בְ/ע֣וֹףu./ve./'ofand/ over/ [the] bird[s] ofH5775
  11. הַ/שָּׁמַ֗יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  12. וּ/בַ/בְּהֵמָה֙u./va./be.he.Mahand/ over the/ livestockH929
  13. וּ/בְ/כָל\־u./ve./Khol-and/ over/ allH3605
  14. הָ/אָ֔רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  15. וּ/בְ/כָל\־u./ve./Khol-and/ over/ everyH3605
  16. הָ/רֶ֖מֶשׂha./Re.mes<the>/ creeping thingH7431
  17. הָֽ/רֹמֵ֥שׂha./ro.Meswhich/ creepsH7430
  18. עַל\־'al-onH5921
  19. הָ/אָֽרֶץ\׃ha./'A.retzthe/ earthH776
27
  1. וַ/יִּבְרָ֨אva/i.yiv.Ra'and/ he createdH1254
  2. אֱלֹהִ֤ים\׀'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. הָֽ/אָדָם֙ha./'a.Dam<the>/ humankindH120
  5. בְּ/צַלְמ֔/וֹbe./tzal.M/oin/ own image/ hisH6754
  6. בְּ/צֶ֥לֶםbe./Tze.lemin/ [the] image ofH6754
  7. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  8. בָּרָ֣אba.Ra'he createdH1254
  9. אֹת֑/וֹ'o.T/o<obj.>/ itH853
  10. זָכָ֥רza.KharmaleH2145
  11. וּ/נְקֵבָ֖הu./ne.ke.Vahand/ femaleH5347
  12. בָּרָ֥אba.Ra'he createdH1254
  13. אֹתָֽ/ם\׃'o.Ta/m<obj.>/ themH853
28
  1. וַ/יְבָ֣רֶךְva/y.Va.rekhand/ he blessedH1288
  2. אֹתָ/ם֮'o.Ta/m<obj.>/ themH853
  3. אֱלֹהִים֒'E.lo.HimGodH430
  4. וַ/יֹּ֨אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  5. לָ/הֶ֜םla./Hemto <the>/ themH9038
  6. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  7. פְּר֥וּpe.Rube fruitfulH6509
  8. וּ/רְב֛וּu./re.Vuand/ multiplyH7235
  9. וּ/מִלְא֥וּu./mil.'Uand/ fillH4390
  10. אֶת\־'et-<obj.>H853
  11. הָ/אָ֖רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  12. וְ/כִבְשֻׁ֑/הָve./khiv.Shu./haand/ subdue/ itH3533
  13. וּ/רְד֞וּu./re.Duand/ ruleH7287
  14. בִּ/דְגַ֤תbi/d.Gatover/ [the] fish ofH1710
  15. הַ/יָּם֙hai./Yamthe/ seaH3220
  16. וּ/בְ/ע֣וֹףu./ve./'ofand/ over/ [the] bird[s] ofH5775
  17. הַ/שָּׁמַ֔יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  18. וּ/בְ/כָל\־u./ve./Khol-and/ over/ everyH3605
  19. חַיָּ֖הchai.YahanimalH2416
  20. הָֽ/רֹמֶ֥שֶׂתha./ro.Me.setwhich/ creepsH7430
  21. עַל\־'al-onH5921
  22. הָ/אָֽרֶץ\׃ha./'A.retzthe/ earthH776
29
  1. וַ/יֹּ֣אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  3. הִנֵּה֩hi.Nehhere!H2009
  4. נָתַ֨תִּיna.Ta.tiI giveH5414
  5. לָ/כֶ֜םla./Khemto <the>/ youH9036
  6. אֶת\־'et-<obj.>H853
  7. כָּל\־kol-everyH3605
  8. עֵ֣שֶׂב\׀'E.sevplantH6212
  9. זֹרֵ֣עַzo.Re.a'H2232
  10. זֶ֗רַעZe.ra'seedH2233
  11. אֲשֶׁר֙'a.SherwhichH834
  12. עַל\־'al-H5921
  13. פְּנֵ֣יpe.NeiH6440
  14. כָל\־khol-allH3605
  15. הָ/אָ֔רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  16. וְ/אֶת\־ve./'Etand/ <obj.>H853
  17. כָּל\־kol-everyH3605
  18. הָ/עֵ֛ץha./'Etz<the>/ treeH6086
  19. אֲשֶׁר\־'a.Sher-whichH834
  20. בּ֥/וֹb/oin <the>/ itH9033
  21. פְרִי\־fe.ri-H6529
  22. עֵ֖ץ'etza treeH6086
  23. זֹרֵ֣עַzo.Re.a'H2232
  24. זָ֑רַעZa.ra'seedH2233
  25. לָ/כֶ֥םla./Khemto <the>/ youH9036
  26. יִֽהְיֶ֖הyih.Yeh<it> will be[long]H1961
  27. לְ/אָכְלָֽה\׃le./'okh.Lahto/ foodH402
30
  1. וּֽ/לְ/כָל\־u./le./khol-and/ to/ everyH3605
  2. חַיַּ֣תchai.Yat<the> animal ofH2416
  3. הָ֠/אָרֶץHa./'a.retzthe/ earthH776
  4. וּ/לְ/כָל\־u./le./khol-and/ to/ everyH3605
  5. ע֨וֹףof<the> bird ofH5775
  6. הַ/שָּׁמַ֜יִםha./sha.Ma.yimthe/ heavensH8064
  7. וּ/לְ/כֹ֣ל\׀u./le./Kholand/ to/ everyH3605
  8. רוֹמֵ֣שׂro.Mescreeping [thing]H7430
  9. עַל\־'al-onH5921
  10. הָ/אָ֗רֶץha./'A.retzthe/ earthH776
  11. אֲשֶׁר\־'a.Sher-whichH834
  12. בּ/וֹ֙b/oH9033
  13. נֶ֣פֶשׁNe.feshlifeH5315
  14. חַיָּ֔הchai.YahlivingH2416
  15. אֶת\־'et-<obj.>H853
  16. כָּל\־kol-allH3605
  17. יֶ֥רֶקYe.rekgreenery ofH3418
  18. עֵ֖שֶׂב'E.sevplant[s]H6212
  19. לְ/אָכְלָ֑הle./'okh.Lahto/ foodH402
  20. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  21. כֵֽן\׃KhensoH3651
31
  1. וַ/יַּ֤רְאva/i.Yar'and/ he sawH7200
  2. אֱלֹהִים֙'E.lo.HimGodH430
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. כָּל\־kol-allH3605
  5. אֲשֶׁ֣ר'a.SherthatH834
  6. עָשָׂ֔ה'a.Sahhe had madeH6213
  7. וְ/הִנֵּה\־ve./hi.neh-and/ there!H2009
  8. ט֖וֹבTovH2896
  9. מְאֹ֑דme.'OdveryH3966
  10. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  11. עֶ֥רֶב'E.reveveningH6153
  12. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ there wasH1961
  13. בֹ֖קֶרVo.kermorningH1242
  14. י֥וֹםYomH3117
  15. הַ/שִּׁשִּֽׁי\׃\ \פha./shi.Shi<the>/ sixthH8345

View the full Hebrew interlinear for Genesis 1 →

Strong's words in Genesis 1 (6)
Strong's H430 אֱלֹהִ֑ים ('E.lo.Him)
God. Appears 32 times in Genesis 1.
Strong's H1961 הָיְתָ֥ה (ha.ye.Tah)
<it> was. Appears 27 times in Genesis 1.
Strong's H776 הָ/אָֽרֶץ\׃ (ha./'A.retz)
the/ earth. Appears 20 times in Genesis 1.
Strong's H3605 כָּל\־ (kol-)
every. Appears 14 times in Genesis 1.
Strong's H3117 י֔וֹם (Yom)
day. Appears 11 times in Genesis 1.
Strong's H4325 הַ/מָּֽיִם\׃ (ha./Ma.yim)
the/ waters. Appears 11 times in Genesis 1.

Browse the full Strong's concordance →

What the Early Church wrote about Genesis 1 (4)
  • “Moses says also; "In the beginning God created the heaven and the earth:" taking the beginning to be, not as some men think, that which is according to time; for before the world time had no existence, but was created either simultaneously with it, or after it;...”

    Philo of Alexandria, Jewish philosopher (1st century) on Genesis 1:1
  • “But from the beginning of the creation God made them male and female. [Genesis 1:27] For this cause shall a man leave his father and mother, and cleave to his wife; And they twain shall be one flesh: so then they are no more twain, but one flesh.”

    Liturgy of Saint Mark (1st century) on Genesis 1:27
  • “For never at any time did Adam escape the hands of God, to whom the Father speaking, said, Let Us make man in Our image, after Our likeness.”

  • “For the sun is a type of God, and the moon of man... and the three days which were before the luminaries, are types of the Trinity, of God, and His Word, and His wisdom.”

Read the full Ante-Nicene Fathers library →

0:00 Genesis 1 0:00

Video Bible

Loading video...

Scripture video provided by Faith Comes By Hearing

🌐 Select Language

2532 Bibles in 2198 Languages

Select Translation

Congratulations!

You completed the book of Matthew!

Points Earned +280
28 Chapters
15% NT Progress