Skip to content

A little app tip

Back and forward, in one button

The back arrow at the bottom of the app can take you in either direction.

Tap the arrowGo back
Press and holdGo forward

Hold briefly, then release. Forward is available after you have gone back. You can also use Shift+Enter on a keyboard.

Add your phone number?

Optional. Nothing is sent unless you choose it.

Audio Bible
The Historic Faith

Chapter Genesis 35 Language Kiswahili Bible ID SWHBTK Label BTK Catalog Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya Available audio Coverage Old Testament

Select Translation

1 Kisha Mungu akamwambia Yakobo, “Panda uende Betheli ukakae huko na ukamjengee Mungu madhabahu huko, Yeye aliyekutokea ulipokuwa unamkimbia Esau ndugu yako.”
2 Hivyo Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake pamoja na wote waliokuwa naye, “Iondoeni miungu ya kigeni ile iliyoko katikati yenu, jitakaseni na mkabadilishe nguo zenu.
3 Kisha njooni, twende Betheli, mahali nitakapomjengea Mungu madhabahu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, ambaye amekuwa pamoja nami popote nilipokwenda.”
4 Kwa hiyo wakampa Yakobo miungu yote ya kigeni waliyokuwa nayo, pamoja na pete zilizokuwa masikioni mwao. Yakobo akavizika chini ya mti wa mwaloni huko Shekemu.
5 Kisha wakaondoka, na hofu ya Mungu ikawapata miji yote iliyowazunguka. Kwa hiyo hakuna aliyewafuatia wana wa Yakobo.
6 Yakobo na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafika Luzu (ndio Betheli), katika nchi ya Kanaani.
7 Huko akajenga madhabahu na akapaita mahali pale El-Betheli, kwa sababu mahali pale ndipo Mungu alipojifunua kwake alipokuwa akimkimbia ndugu yake.
8 Wakati huu Debora, mlezi wa Rebeka, akafa na akazikwa chini ya mti wa mwaloni ulioko chini ya Betheli. Kwa hiyo pakaitwa Alon-Bakuthi.
9 Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-Aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki.
10 Mungu akamwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa tena Yakobo, jina lako utakuwa Israeli.” Kwa hiyo akamwita Israeli.
11 Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi, ukazae na kuongezeka. Taifa na jamii ya mataifa itatoka kwako, nao wafalme watatoka viunoni mwako.
12 Nchi niliyowapa Abrahamu na Isaki nakupa wewe pia, nami nitawapa wazao wako baada yako.”
13 Kisha Mungu akapanda juu kutoka kwake mahali pale alipozungumza naye.
14 Yakobo akasimamisha nguzo ya jiwe mahali pale Mungu alipozungumza naye, akamimina sadaka ya kinywaji juu yake, pia akamimina mafuta juu yake.
15 Yakobo akapaita mahali pale Mungu alipozungumza naye Betheli.
16 Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu.
17 Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.”
18 Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. Lakini babaye akamwita Benyamini.
19 Kwa hiyo Raheli akafa, akazikwa kando ya njia iendayo Efrathi (ndio Bethlehemu).
20 Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli.
21 Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.
22 Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili:
23 Wana wa Lea walikuwa: Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni.
24 Wana wa Raheli walikuwa: Yosefu na Benyamini.
25 Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: Dani na Naftali.
26 Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.
27 Yakobo akarudi nyumbani kwa baba yake Isaki huko Mamre, karibu na Kiriath-Arba (yaani Hebroni), ambapo walikuwa wameishi Abrahamu na Isaki.
28 Isaki aliishi miaka 180.
29 Kisha Isaki akapumua pumzi yake ya mwisho akafa, akakusanywa pamoja na watu wake akiwa mzee wa miaka mingi. Nao wanawe Esau na Yakobo wakamzika.
Chapter information and study resources

Listen to Genesis 35 with verse-by-verse audio highlighting.

Study tools for Genesis 35

Cross-references, Hebrew word study, and what the Early Church wrote about Genesis 35. Tap any section to expand — or right-click any verse for the full interactive study panel.

Genesis 35 study resources: word-by-word Hebrew interlinear with Strong's numbers, 30 cross-references.

Cross-references in Genesis 35 (30)

See the full cross-reference index →

Hebrew interlinear — Genesis 35:1–29 (378 words)
1
  1. וַ/יֹּ֤אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. אֱלֹהִים֙'E.lo.HimGodH430
  3. אֶֽל\־'el-toH413
  4. יַעֲקֹ֔בya.'a.KoJacobH3290
  5. ק֛וּםkumariseH6965
  6. עֲלֵ֥ה'a.Lehgo upH5927
  7. בֵֽית\־veit-Beth-H1008
  8. אֵ֖ל'el-elH1008
  9. וְ/שֶׁב\־ve./shev-and/ dwellH3427
  10. שָׁ֑םShamthereH8033
  11. וַ/עֲשֵׂה\־va./'a.seh-and/ makeH6213
  12. שָׁ֣םshamthereH8033
  13. מִזְבֵּ֔חַmiz.Be.achan altarH4196
  14. לָ/אֵל֙la./'Elto the/ GodH410
  15. הַ/נִּרְאֶ֣הha./nir.'Ehwho/ appearedH7200
  16. אֵלֶ֔י/ךָ'e.Lei./khato/ youH413
  17. בְּ/בָרְחֲ/ךָ֔be./va.re.cha./Khawhen/ fleeing/ youH1272
  18. מִ/פְּנֵ֖יmi./pe.Neifrom/ beforeH6440
  19. עֵשָׂ֥ו'e.SavEsauH6215
  20. אָחִֽי/ךָ\׃'a.Chi./khabrother/ yourH251
2
  1. וַ/יֹּ֤אמֶרva/i.Yo.merand/ he saidH559
  2. יַעֲקֹב֙ya.'a.KoJacobH3290
  3. אֶל\־'el-toH413
  4. בֵּית֔/וֹbei.T/ohousehold/ hisH1004
  5. וְ/אֶ֖לve./'Eland/ toH413
  6. כָּל\־kol-allH3605
  7. אֲשֶׁ֣ר'a.SherwhoH834
  8. עִמּ֑/וֹi.M/oH5973
  9. הָסִ֜רוּha.Si.ruremoveH5493
  10. אֶת\־'et-<obj.>H853
  11. אֱלֹהֵ֤י'e.lo.HeiH430
  12. הַ/נֵּכָר֙ha./ne.Khar<the>/ foreignnessH5236
  13. אֲשֶׁ֣ר'a.SherwhichH834
  14. בְּ/תֹכְ/כֶ֔םbe./to.khe./Khemin/ midst of/ youH8432
  15. וְ/הִֽטַּהֲר֔וּve./hi.ta.ha.Ruand/ purify yourselvesH2891
  16. וְ/הַחֲלִ֖יפוּve./ha.cha.Li.fuand/ changeH2498
  17. שִׂמְלֹתֵי/כֶֽם\׃sim.lo.tei./Khemclothes/ yourH8071
3
  1. וְ/נָק֥וּמָהve./na.Ku.mahso/ let us ariseH6965
  2. וְ/נַעֲלֶ֖הve./na.'a.Lehand/ we may go upH5927
  3. בֵּֽית\־beit-Beth-H1008
  4. אֵ֑ל'El-elH1008
  5. וְ/אֶֽעֱשֶׂה\־ve./'e.'e.seh-so/ I may makeH6213
  6. שָּׁ֣םshamthereH8033
  7. מִזְבֵּ֗חַmiz.Be.achan altarH4196
  8. לָ/אֵ֞לla./'Elto the/ GodH410
  9. הָ/עֹנֶ֤הha./'o.Nehwho/ answeredH6030
  10. אֹתִ/י֙'o.T/i<obj.>/ meH853
  11. בְּ/י֣וֹםbe./Yomon/ [the] day ofH3117
  12. צָֽרָתִ֔/יtza.ra.T/idistress/ myH6869
  13. וַ/יְהִי֙va/y.Hiand/ he has beenH1961
  14. עִמָּדִ֔/י'i.ma.D/iwith/ meH5978
  15. בַּ/דֶּ֖רֶךְba./De.rekhon the/ journeyH1870
  16. אֲשֶׁ֥ר'a.SherwhichH834
  17. הָלָֽכְתִּי\׃ha.La.khe.tiI have goneH1980
4
  1. וַ/יִּתְּנ֣וּva/i.yi.te.Nuand/ they gaveH5414
  2. אֶֽל\־'el-toH413
  3. יַעֲקֹ֗בya.'a.KoJacobH3290
  4. אֵ֣ת'et<obj.>H853
  5. כָּל\־kol-allH3605
  6. אֱלֹהֵ֤י'e.lo.HeiH430
  7. הַ/נֵּכָר֙ha./ne.Khar<the>/ foreignnessH5236
  8. אֲשֶׁ֣ר'a.SherwhichH834
  9. בְּ/יָדָ֔/םbe./ya.Da/mH3027
  10. וְ/אֶת\־ve./'Etand/ <obj.>H853
  11. הַ/נְּזָמִ֖יםha./ne.za.Mimthe/ ringsH5141
  12. אֲשֶׁ֣ר'a.SherwhichH834
  13. בְּ/אָזְנֵי/הֶ֑םbe./'a.ze.nei./HemH241
  14. וַ/יִּטְמֹ֤ןva/i.yit.Monand/ he hidH2934
  15. אֹתָ/ם֙'o.Ta/m<obj.>/ themH853
  16. יַעֲקֹ֔בya.'a.KoJacobH3290
  17. תַּ֥חַתTa.chatunderH8478
  18. הָ/אֵלָ֖הha./'e.Lahthe/ oakH424
  19. אֲשֶׁ֥ר'a.SherwhichH834
  20. עִם\־'im-H5973
  21. שְׁכֶֽם\׃she.KhemShechemH7927
5
  1. וַ/יִּסָּ֑עוּva/i.yi.Sa.'uand/ they set outH5265
  2. וַ/יְהִ֣י\׀va/y.Hiand/ it wasH1961
  3. חִתַּ֣תchi.TatH2847
  4. אֱלֹהִ֗ים'E.lo.HimGodH430
  5. עַל\־'al-onH5921
  6. הֶֽ/עָרִים֙he./'a.Rimthe/ citiesH5892
  7. אֲשֶׁר֙'a.SherwhichH834
  8. סְבִיבֹ֣תֵי/הֶ֔םse.vi.Vo.tei./HemH5439
  9. וְ/לֹ֣אve./Lo'and/ notH3808
  10. רָֽדְפ֔וּra.de.Fupeople pursuedH7291
  11. אַחֲרֵ֖י'a.cha.ReiafterH310
  12. בְּנֵ֥יbe.NeiH1121
  13. יַעֲקֹֽב\׃ya.'a.KoJacobH3290
6
  1. וַ/יָּבֹ֨אva/i.ya.Vo'and/ he cameH935
  2. יַעֲקֹ֜בya.'a.KoJacobH3290
  3. ל֗וּזָ/הLu.za/hLuz/ towardsH3870
  4. אֲשֶׁר֙'a.SherwhichH834
  5. בְּ/אֶ֣רֶץbe./'E.retzH776
  6. כְּנַ֔עַןke.Na.'anCanaanH3667
  7. הִ֖ואhi'thatH1931
  8. בֵּֽית\־beit-H1008
  9. אֵ֑ל'El-elH1008
  10. ה֖וּאhu'heH1931
  11. וְ/כָל\־ve./kholand/ allH3605
  12. הָ/עָ֥םha./'Amthe/ peopleH5971
  13. אֲשֶׁר\־'a.Sher-whichH834
  14. עִמּֽ/וֹ\׃i.M/oH5973
7
  1. וַ/יִּ֤בֶןva/i.Yi.venand/ he builtH1129
  2. שָׁם֙shamthereH8033
  3. מִזְבֵּ֔חַmiz.Be.achan altarH4196
  4. וַ/יִּקְרָא֙va/i.yik.Ra'and/ he calledH7121
  5. לַ/מָּק֔וֹםla./ma.Kom<to> the/ placeH4725
  6. אֵ֖ל'elElH416
  7. בֵּֽית\־beit-Beth-H416
  8. אֵ֑ל'El-elH416
  9. כִּ֣יkiforH3588
  10. שָׁ֗םShamthereH8033
  11. נִגְל֤וּnig.Luthey had revealed themselvesH1540
  12. אֵלָי/ו֙'e.La/vto/ himH413
  13. הָֽ/אֱלֹהִ֔יםha./'E.lo.Him<the>/ GodH430
  14. בְּ/בָרְח֖/וֹbe./va.re.Ch/owhen/ fled/ heH1272
  15. מִ/פְּנֵ֥יmi./pe.Neifrom/ beforeH6440
  16. אָחִֽי/ו\׃'a.Chi/vbrother/ hisH251
8
  1. וַ/תָּ֤מָתva./Ta.motand/ she diedH4191
  2. דְּבֹרָה֙de.vo.RahDeborahH1683
  3. מֵינֶ֣קֶתmei.Ne.ketH3243
  4. רִבְקָ֔הriv.KahRebekahH7259
  5. וַ/תִּקָּבֵ֛רva./ti.ka.Verand/ she was buriedH6912
  6. מִ/תַּ֥חַתmi./Ta.chatfrom/ underH8478
  7. לְ/בֵֽית\־le./veit-to/ Beth-H1008
  8. אֵ֖ל'el-elH1008
  9. תַּ֣חַתTa.chatunderH8478
  10. הָֽ/אַלּ֑וֹןha./'a.Lonthe/ oakH437
  11. וַ/יִּקְרָ֥אva/i.yik.Ra'and/ someone calledH7121
  12. שְׁמ֖/וֹshe.M/oname/ itsH8034
  13. אַלּ֥וֹן'a.LonAllonH439
  14. בָּכֽוּת\׃\ \פba.KhutBacuthH439
9
  1. וַ/יֵּרָ֨אva/i.ye.Ra'and/ he appearedH7200
  2. אֱלֹהִ֤ים'E.lo.HimGodH430
  3. אֶֽל\־'el-toH413
  4. יַעֲקֹב֙ya.'a.KoJacobH3290
  5. ע֔וֹדodagainH5750
  6. בְּ/בֹא֖/וֹbe./vo.'/Owhen/ came/ heH935
  7. מִ/פַּדַּ֣ןmi./pa.Danfrom/ PaddanH6307
  8. אֲרָ֑ם'a.RamAramH758
  9. וַ/יְבָ֖רֶךְva/y.Va.rekhand/ he blessedH1288
  10. אֹתֽ/וֹ\׃'o.T/o<obj.>/ himH853
10
  1. וַ/יֹּֽאמֶר\־va/i.yo.mer-and/ he saidH559
  2. ל֥/וֹl/oto <the>/ himH9033
  3. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  4. שִׁמְ/ךָ֣shim./Khaname/ yourH8034
  5. יַעֲקֹ֑בya.'a.KoH3290
  6. לֹֽא\־lo'-notH3808
  7. יִקָּרֵא֩yi.ka.Re'it will be calledH7121
  8. שִׁמְ/ךָ֙shim./Khaname/ yourH8034
  9. ע֜וֹדodagainH5750
  10. יַעֲקֹ֗בya.'a.KoJacobH3290
  11. כִּ֤יkithatH3588
  12. אִם\־'im-exceptH518
  13. יִשְׂרָאֵל֙Yis.ra.'ElIsraelH3478
  14. יִהְיֶ֣הyih.Yehit will beH1961
  15. שְׁמֶ֔/ךָshe.Me./khaname/ yourH8034
  16. וַ/יִּקְרָ֥אva/i.yik.Ra'and/ he calledH7121
  17. אֶת\־'et-<obj.>H853
  18. שְׁמ֖/וֹshe.M/oname/ hisH8034
  19. יִשְׂרָאֵֽל\׃Yis.ra.'ElIsraelH3478
11
  1. וַ/יֹּאמֶר֩va/i.yo.Merand/ he saidH559
  2. ל֨/וֹl/oto <the>/ himH9033
  3. אֱלֹהִ֜ים'E.lo.HimGodH430
  4. אֲנִ֨י'a.NiIH589
  5. אֵ֤ל'elH410
  6. שַׁדַּי֙sha.DaiAlmightyH7706
  7. פְּרֵ֣הpe.Rehbe fruitfulH6509
  8. וּ/רְבֵ֔הu./re.Vehand/ multiplyH7235
  9. גּ֛וֹיGoya nationH1471
  10. וּ/קְהַ֥לu./ke.Haland/ a company ofH6951
  11. גּוֹיִ֖םgo.YimnationsH1471
  12. יִהְיֶ֣הyih.Yehit will beH1961
  13. מִמֶּ֑/ךָּmi.Me./kafrom/ youH4480
  14. וּ/מְלָכִ֖יםu./me.la.Khimand/ kingsH4428
  15. מֵ/חֲלָצֶ֥י/ךָme./cha.la.Tzei./khafrom/ loins/ yourH2504
  16. יֵצֵֽאוּ\׃ye.Tze.'uthey will come outH3318
12
  1. וְ/אֶת\־ve./'Etand/ <obj.>H853
  2. הָ/אָ֗רֶץha./'A.retzthe/ landH776
  3. אֲשֶׁ֥ר'a.SherwhichH834
  4. נָתַ֛תִּיna.Ta.tiI gaveH5414
  5. לְ/אַבְרָהָ֥םle./'av.ra.Hamto/ AbrahamH85
  6. וּ/לְ/יִצְחָ֖קu./le./yitz.Chakand/ to/ IsaacH3327
  7. לְ/ךָ֣le./Khato <the>/ youH9031
  8. אֶתְּנֶ֑/נָּה'et.te.Ne./nahI will give/ itH5414
  9. וּֽ/לְ/זַרְעֲ/ךָ֥u./le./zar.'a./Khaand/ to/ offspring/ yourH2233
  10. אַחֲרֶ֖י/ךָ'a.cha.Rei./khaafter/ youH310
  11. אֶתֵּ֥ן'e.TenI will giveH5414
  12. אֶת\־'et-<obj.>H853
  13. הָ/אָֽרֶץ\׃ha./'A.retzthe/ landH776
13
  1. וַ/יַּ֥עַלva/i.Ya.'aland/ he went upH5927
  2. מֵ/עָלָ֖י/וme./'a.La/vfrom/ with <the>/ himH5921
  3. אֱלֹהִ֑ים'E.lo.HimGodH430
  4. בַּ/מָּק֖וֹםba./ma.Komat the/ placeH4725
  5. אֲשֶׁר\־'a.Sher-whereH834
  6. דִּבֶּ֥רdi.Berhe had spokenH1696
  7. אִתּֽ/וֹ\׃'i.T/owith/ himH854
14
  1. וַ/יַּצֵּ֨בva/i.ya.Tzevand/ he set upH5324
  2. יַעֲקֹ֜בya.'a.KoJacobH3290
  3. מַצֵּבָ֗הma.tze.Vaha pillarH4676
  4. בַּ/מָּק֛וֹםba./ma.Komat the/ placeH4725
  5. אֲשֶׁר\־'a.Sher-whereH834
  6. דִּבֶּ֥רdi.Berhe had spokenH1696
  7. אִתּ֖/וֹ'i.T/owith/ himH854
  8. מַצֶּ֣בֶתma.Tze.veta pillar ofH4678
  9. אָ֑בֶן'A.venstoneH68
  10. וַ/יַּסֵּ֤ךְva/i.ya.Sekhand/ he poured outH5258
  11. עָלֶ֙י/הָ֙'a.Lei./haon/ itH5921
  12. נֶ֔סֶךְNe.sekha drink offeringH5262
  13. וַ/יִּצֹ֥קva/i.yi.Tzokand/ he pouredH3332
  14. עָלֶ֖י/הָ'a.Lei./haon/ itH5921
  15. שָֽׁמֶן\׃Sha.menoilH8081
15
  1. וַ/יִּקְרָ֨אva/i.yik.Ra'and/ he calledH7121
  2. יַעֲקֹ֜בya.'a.KoJacobH3290
  3. אֶת\־'et-<obj.>H853
  4. שֵׁ֣םshemH8034
  5. הַ/מָּק֗וֹםha./ma.Komthe/ placeH4725
  6. אֲשֶׁר֩'a.SherwhereH834
  7. דִּבֶּ֨רdi.Berhe had spokenH1696
  8. אִתּ֥/וֹ'i.T/owith/ himH854
  9. שָׁ֛םshamthereH8033
  10. אֱלֹהִ֖ים'E.lo.HimGodH430
  11. בֵּֽית\־beit-Beth-H1008
  12. אֵֽל\׃'El-elH1008
16
  1. וַ/יִּסְעוּ֙va/i.yis.'Uand/ they set outH5265
  2. מִ/בֵּ֣יתmi./Beitfrom/ Beth-H1008
  3. אֵ֔ל'El-elH1008
  4. וַֽ/יְהִי\־va/y.hi-and/ it wasH1961
  5. ע֥וֹדodyetH5750
  6. כִּבְרַת\־kiv.rat-H3530
  7. הָ/אָ֖רֶץha./'A.retzthe/ landH776
  8. לָ/ב֣וֹאla./Vo'to/ goH935
  9. אֶפְרָ֑תָה'ef.Ra.tahEphrathahH672
  10. וַ/תֵּ֥לֶדva./Te.ledand/ she gave birthH3205
  11. רָחֵ֖לra.ChelRachelH7354
  12. וַ/תְּקַ֥שׁva./te.Kashand/ she had difficultiesH7185
  13. בְּ/לִדְתָּֽ/הּ\׃be./lid.Ta/hwhen/ gave birth/ sheH3205
17
  1. וַ/יְהִ֥יva/y.Hiand/ it wasH1961
  2. בְ/הַקְשֹׁתָ֖/הּve./hak.sho.Ta/hwhen/ had difficulties/ sheH7185
  3. בְּ/לִדְתָּ֑/הּbe./lid.Ta/hwhen/ gave birth/ sheH3205
  4. וַ/תֹּ֨אמֶרva./To.merand/ she saidH559
  5. לָ֤/הּla/hto <the>/ herH9034
  6. הַ/מְיַלֶּ֙דֶת֙ha/m.ya.Le.detthe/ midwifeH3205
  7. אַל\־'al-may notH408
  8. תִּ֣ירְאִ֔יtir.'Iyou be afraidH3372
  9. כִּֽי\־ki-forH3588
  10. גַם\־gam-alsoH1571
  11. זֶ֥הzehthis [one]H2088
  12. לָ֖/ךְla/khfor <the>/ youH9032
  13. בֵּֽן\׃BenH1121
18
  1. וַ/יְהִ֞יva/y.Hiand/ it wasH1961
  2. בְּ/צֵ֤אתbe./Tzetwhen/ went outH3318
  3. נַפְשָׁ/הּ֙naf.Sha/hlife/ herH5315
  4. כִּ֣יkiforH3588
  5. מֵ֔תָהMe.tahshe diedH4191
  6. וַ/תִּקְרָ֥אva./tik.Ra'and/ she calledH7121
  7. שְׁמ֖/וֹshe.M/oname/ hisH8034
  8. בֶּן\־ben-Ben-H1126
  9. אוֹנִ֑י'o.NiOniH1126
  10. וְ/אָבִ֖י/וve./'a.Vi/vand/ father/ hisH1
  11. קָֽרָא\־ka.ra'-he calledH7121
  12. ל֥/וֹl/o<to> <the>/ himH9033
  13. בִנְיָמִֽין\׃vin.ya.MinBenjaminH1144
19
  1. וַ/תָּ֖מָתva./Ta.motand/ she diedH4191
  2. רָחֵ֑לra.ChelRachelH7354
  3. וַ/תִּקָּבֵר֙va./ti.ka.Verand/ she was buriedH6912
  4. בְּ/דֶ֣רֶךְbe./De.rekhon/ [the] way ofH1870
  5. אֶפְרָ֔תָה'ef.Ra.tahEphrathahH672
  6. הִ֖ואhi'thatH1931
  7. בֵּ֥יתbeitH1035
  8. לָֽחֶם\׃La.chem-lehemH1035
20
  1. וַ/יַּצֵּ֧בva/i.ya.Tzevand/ he set upH5324
  2. יַעֲקֹ֛בya.'a.KoJacobH3290
  3. מַצֵּבָ֖הma.tze.Vaha pillarH4676
  4. עַל\־'al-overH5921
  5. קְבֻרָתָ֑/הּke.vu.ra.Ta/hgrave/ herH6900
  6. הִ֛ואhi'itH1931
  7. מַצֶּ֥בֶתma.Tze.vetH4678
  8. קְבֻֽרַת\־ke.vu.rat-H6900
  9. רָחֵ֖לra.ChelRachelH7354
  10. עַד\־'ad-untilH5704
  11. הַ/יּֽוֹם\׃hai./Yomthis/ dayH3117
21
  1. וַ/יִּסַּ֖עva/i.yi.Sa'and/ he set outH5265
  2. יִשְׂרָאֵ֑לYis.ra.'ElIsraelH3478
  3. וַ/יֵּ֣טva/i.Yetand/ he pitchedH5186
  4. אָֽהֳל֔/וֹ'o.ho.L/otent/ hisH168
  5. מֵ/הָ֖לְאָהme./Hal.'ahfrom/ beyondH1973
  6. לְ/מִגְדַּל\־le./mig.dal-<to>/ MigdalH4029
  7. עֵֽדֶר\׃'E.derEderH4029
22
  1. וַ/יְהִ֗יva/y.Hiand/ it wasH1961
  2. בִּ/שְׁכֹּ֤ןbi/sh.Konwhen/ dweltH7931
  3. יִשְׂרָאֵל֙Yis.ra.'ElIsraelH3478
  4. בָּ/אָ֣רֶץba./'A.retzin the/ landH776
  5. הַ/הִ֔ואha./Hiv'<the>/ thatH1931
  6. וַ/יֵּ֣לֶךְva/i.Ye.lekhand/ he wentH1980
  7. רְאוּבֵ֔ןre.'u.VenReubenH7205
  8. וַ/יִּשְׁכַּ֕ב֙va/i.yish.Kavand/ he lay withH7901
  9. אֶת\־'et-<obj.>H853
  10. בִּלְהָ֖ה֙bil.HahBilhahH1090
  11. פִּילֶ֣גֶשׁpi.Le.geshH6370
  12. אָבִ֑֔י/ו'a.Vi/vfather of/ hisH1
  13. וַ/יִּשְׁמַ֖עva/i.yish.Ma'and/ he heardH8085
  14. יִשְׂרָאֵֽ֑ל\ \פYis.ra.'ElIsraelH3478
  15. וַ/יִּֽהְי֥וּva/i.yih.Yuand/ they wereH1961
  16. בְנֵֽי\־ve.nei-H1121
  17. יַעֲקֹ֖בya.'a.KoJacobH3290
  18. שְׁנֵ֥יםshe.Neimtwo [plus]H8147
  19. עָשָֽׂר\׃'a.SartenH6240
23
  1. בְּנֵ֣יbe.NeiH1121
  2. לֵאָ֔הle.'AhLeahH3812
  3. בְּכ֥וֹרbe.KhorH1060
  4. יַעֲקֹ֖בya.'a.KoJacobH3290
  5. רְאוּבֵ֑ןre.'u.VenReubenH7205
  6. וְ/שִׁמְעוֹן֙ve./shim.'Onand/ SimeonH8095
  7. וְ/לֵוִ֣יve./le.Viand/ LeviH3878
  8. וִֽ/יהוּדָ֔הvi./hu.Dahand/ JudahH3063
  9. וְ/יִשָּׂשכָ֖רve./yi.so.sh.Kharand/ IssacharH3485
  10. וּ/זְבוּלֻֽן\׃u./ze.vu.Lunand/ ZebulunH2074
24
  1. בְּנֵ֣יbe.NeiH1121
  2. רָחֵ֔לra.ChelRachelH7354
  3. יוֹסֵ֖ףyo.SefJosephH3130
  4. וּ/בִנְיָמִֽן\׃u./vin.ya.Minand/ BenjaminH1144
25
  1. וּ/בְנֵ֤יu./ve.Neiand/ [the] sons ofH1121
  2. בִלְהָה֙vil.HahBilhahH1090
  3. שִׁפְחַ֣תshif.ChatH8198
  4. רָחֵ֔לra.ChelRachelH7354
  5. דָּ֖ןdanDanH1835
  6. וְ/נַפְתָּלִֽי\׃ve./naf.ta.Liand/ NaphtaliH5321
26
  1. וּ/בְנֵ֥יu./ve.Neiand/ [the] sons ofH1121
  2. זִלְפָּ֛הzil.PahZilpahH2153
  3. שִׁפְחַ֥תshif.ChatH8198
  4. לֵאָ֖הle.'AhLeahH3812
  5. גָּ֣דgadGadH1410
  6. וְ/אָשֵׁ֑רve./'a.Sherand/ AsherH836
  7. אֵ֚לֶּה'E.lehtheseH428
  8. בְּנֵ֣יbe.NeiH1121
  9. יַעֲקֹ֔בya.'a.KoJacobH3290
  10. אֲשֶׁ֥ר'a.SherwhoH834
  11. יֻלַּד\־yu.lad-it was bornH3205
  12. ל֖/וֹl/oto <the>/ himH9033
  13. בְּ/פַדַּ֥ןbe./fa.Danin/ PaddanH6307
  14. אֲרָֽם\׃'a.RamAramH758
27
  1. וַ/יָּבֹ֤אva/i.ya.Vo'and/ he cameH935
  2. יַעֲקֹב֙ya.'a.KoJacobH3290
  3. אֶל\־'el-toH413
  4. יִצְחָ֣קyitz.ChakIsaacH3327
  5. אָבִ֔י/ו'a.Vi/vfather/ hisH1
  6. מַמְרֵ֖אmam.Re'MamreH4471
  7. קִרְיַ֣תkir.YatKiriathH7153
  8. הָֽאַרְבַּ֑עha.'ar.Ba'<the> ArbaH7153
  9. הִ֣ואhi'thatH1931
  10. חֶבְר֔וֹןchev.RonH2275
  11. אֲשֶׁר\־'a.Sher-whereH834
  12. גָּֽר\־gar-he had sojournedH1481
  13. שָׁ֥םshamthereH8033
  14. אַבְרָהָ֖ם'av.ra.HamAbrahamH85
  15. וְ/יִצְחָֽק\׃ve./yitz.Chakand/ IsaacH3327
28
  1. וַ/יִּֽהְי֖וּva/i.yih.Yuand/ they wereH1961
  2. יְמֵ֣יye.MeiH3117
  3. יִצְחָ֑קyitz.ChakIsaacH3327
  4. מְאַ֥תme.'Atone hundredH3967
  5. שָׁנָ֖הsha.Nahyear[s]H8141
  6. וּ/שְׁמֹנִ֥יםu./she.mo.Nimand/ eightyH8084
  7. שָׁנָֽה\׃sha.Nahyear[s]H8141
29
  1. וַ/יִּגְוַ֨עva/i.yig.Va'and/ he expiredH1478
  2. יִצְחָ֤קyitz.ChakIsaacH3327
  3. וַ/יָּ֙מָת֙va/i.Ya.motand/ he diedH4191
  4. וַ/יֵּאָ֣סֶףva/i.ye.'A.sefand/ he was gatheredH622
  5. אֶל\־'el-toH413
  6. עַמָּ֔י/ו'a.Ma/vpeople<s>/ hisH5971
  7. זָקֵ֖ןza.Kenan old [man]H2205
  8. וּ/שְׂבַ֣עu./se.Va'and/ satisfied ofH7649
  9. יָמִ֑יםya.MimdaysH3117
  10. וַ/יִּקְבְּר֣וּva/i.yik.be.Ruand/ they buriedH6912
  11. אֹת֔/וֹ'o.T/o<obj.>/ himH853
  12. עֵשָׂ֥ו'e.SavEsauH6215
  13. וְ/יַעֲקֹ֖בve./ya.'a.Koand/ JacobH3290
  14. בָּנָֽי/ו\׃\ \פba.Na/vsons/ hisH1121

View the full Hebrew interlinear for Genesis 35 →

Strong's words in Genesis 35 (6)
Strong's H3290 — יַעֲקֹ֔ב (ya.'a.Ko)
Jacob. Appears 17 times in Genesis 35.
Strong's H1008 — בֵֽית\־ (veit-)
Beth-. Appears 12 times in Genesis 35.
Strong's H1961 — וַ/יְהִי֙ (va/y.Hi)
and/ he has been. Appears 10 times in Genesis 35.
Strong's H430 — אֱלֹהִים֙ ('E.lo.Him)
God. Appears 10 times in Genesis 35.
Strong's H1121 — בְּנֵ֥י (be.Nei)
[the] sons of. Appears 9 times in Genesis 35.
Strong's H7121 — וַ/יִּקְרָא֙ (va/i.yik.Ra')
and/ he called. Appears 7 times in Genesis 35.

Browse the full Strong's concordance →

0:00 0:00

Video Bible

Loading video...

Scripture video provided by Faith Comes By Hearing

🌐 Select Language

2883 Bibles in 2502 Languages

Select Translation

Congratulations!

You completed the book of Matthew!

Points Earned +280
28 Chapters
15% NT Progress