Skip to content

A little app tip

Back and forward, in one button

The back arrow at the bottom of the app can take you in either direction.

Tap the arrowGo back
Press and holdGo forward

Hold briefly, then release. Forward is available after you have gone back. You can also use Shift+Enter on a keyboard.

Add your phone number?

Optional. Nothing is sent unless you choose it.

Audio Bible
The Historic Faith

Chapter Ezekiel 1 Language Kiswahili Bible ID SWHBTK Label BTK Catalog Bible Society of Tanzania and Bible Society of Kenya Available audio Coverage Old Testament

Select Translation

1 Katika mwaka wa thelathini, mwezi wa nne, siku ya tano ya mwezi, wakati nilipokuwa miongoni mwa hao waliokuwa uhamishoni kando ya Mto Kebari, mbingu zilifunguka nami nikaona maono ya Mungu.
2 Katika siku ya tano ya mwezi, ilikuwa mwaka wa tano wa kuhamishwa kwa Mfalme Yehayakini,
3 neno la Bwana lilimjia Ezekieli kuhani, mwana wa Buzi, kando ya Mto Kebari, katika nchi ya Wakaldayo. Huko mkono wa Bwana ulikuwa juu yake.
4 Nilitazama, nikaona dhoruba kubwa ikitoka kaskazini, wingu kubwa sana pamoja likiwa na umeme wa radi likiwa limezungukwa na mwanga mkali. Katikati ya huo moto kulikuwa kama rangi ya manjano ya chuma kinapokuwa ndani ya moto.
5 Katika ule moto kulikuwa na kitu kinachofanana na viumbe vinne vyenye uhai. Katika kuonekana kwake vilikuwa na umbo mfano wa mwanadamu,
6 lakini kila kimoja kilikuwa na nyuso nne na mabawa manne.
7 Miguu yao ilikuwa imenyooka, nyayo za miguu yao zilikuwa kama kwato za miguu ya ndama, nazo zilimetameta kama shaba iliyosuguliwa.
8 Chini ya mabawa yao katika pande zao nne walikuwa na mikono ya mwanadamu. Wote wanne walikuwa na nyuso na mabawa,
9 nayo mabawa yao yaligusana. Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja, hawakugeuka walipokuwa wanatembea.
10 Kuonekana kwa nyuso zao kulikuwa hivi: Kila mmoja wa wale wanne alikuwa na uso wa mwanadamu na kwa upande wa kulia kila mmoja alikuwa na uso wa simba, upande wa kushoto alikuwa na uso wa ngʼombe pia kila mmoja alikuwa na uso wa tai.
11 Hivyo ndivyo zilivyokuwa nyuso zao. Mabawa yao yalikunjuliwa kuelekea juu, kila mmoja alikuwa na mabawa mawili ambayo kila moja liligusa bawa la mwenzake kila upande na mabawa mengine mawili yakifunika mwili wake.
12 Kila mmoja alikwenda kuelekea mbele moja kwa moja. Popote roho alipotaka kwenda, ndipo walipokwenda pasipo kugeuka.
13 Kuonekana kwa vile viumbe hai katikati kulikuwa kama makaa ya mawe yanayowaka au kama mienge. Moto ule ulikuwa ukienda mbele na nyuma katikati ya vile viumbe, ulikuwa na mwangaza mkali na katikati ya ule moto kulitoka kimulimuli kama umeme wa radi.
14 Vile viumbe vilipiga mbio kwenda na kurudi, kama vimulimuli vya umeme wa radi.
15 Nilipokuwa nikitazama vile viumbe hai, niliona gurudumu moja juu ya ardhi kando ya kila kiumbe kikiwa na nyuso zake nne.
16 Hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa hayo magurudumu na muundo wake: yalingʼaa kama zabarajadi, nayo yote manne yalifanana. Kila gurudumu lilikuwa na gurudumu jingine ndani yake.
17 Yalipokwenda yalielekea upande wowote wa pande nne walipoelekea wale viumbe, magurudumu hayakuzunguka wakati viumbe vile vilipokwenda.
18 Kingo zake zilikuwa ndefu kwenda juu na za kutisha, nazo zote nne zilijawa na macho pande zote.
19 Vile viumbe hai vilipokwenda, magurudumu yaliyokuwa kando yao yalisogea na wakati hivyo viumbe hai vilipoinuka kutoka ardhini magurudumu nayo yaliinuka.
20 Mahali popote roho alipokwenda wale viumbe nao walikwenda, nayo magurudumu yaliinuka pamoja navyo, kwa sababu roho ya vile viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
21 Wakati viumbe vile viliposogea, nayo magurudumu yalisogea, viumbe viliposimama kimya, nayo pia yalisimama kimya, viumbe vilipoinuka juu ya nchi magurudumu yaliinuliwa pamoja navyo kwa kuwa roho ya hivyo viumbe hai alikuwa ndani ya hayo magurudumu.
22 Juu ya vichwa vya hao viumbe hai palikuwa na kitu mfano wa eneo lililokuwa wazi, lililokuwa angavu kabisa na lenye kutisha.
23 Chini ya hiyo nafasi mabawa yao yalitanda moja kuelekea jingine, kila mmoja alikuwa na mabawa mengine mawili yaliyofunika mwili wake.
24 Viumbe wale waliposogea nilisikia sauti ya mabawa yao, kama ngurumo ya maji yaendayo kasi, kama sauti ya Mwenyezi, kama makelele ya jeshi. Waliposimama kimya walishusha mabawa yao.
25 Ndipo ikaja sauti toka juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao, waliposimama mabawa yao yakiwa yameshushwa.
26 Juu ya ile nafasi ya wazi iliyokuwa juu ya vichwa vyao kulikuwa na kitu mfano wa kiti cha enzi cha yakuti samawi. Na juu ya kile kiti cha enzi kulikuwa na umbo mfano wa mwanadamu.
27 Nikaona kwamba kutokana na kile nilichoona kama kiuno chake kuelekea juu alionekana kama chuma inayowaka kana kwamba imejaa moto na kuanzia kiuno kwenda chini alionekana kama moto na mwanga mkali ulimzunguka.
28 Kama vile kuonekana kwa upinde wa mvua mawinguni siku ya mvua, ndivyo ulivyokuwa ule mngʼao uliomzunguka. Hivi ndivyo ilivyokuwa kuonekana kwa utukufu wa Bwana. Nilipouona, nikaanguka kifudifudi, nikasikia sauti ya mtu anaongea.
Chapter information and study resources

Listen to Ezekiel 1 with verse-by-verse audio highlighting.

Study tools for Ezekiel 1

Cross-references, Hebrew word study, and what the Early Church wrote about Ezekiel 1. Tap any section to expand — or right-click any verse for the full interactive study panel.

Ezekiel 1 study resources: word-by-word Hebrew interlinear with Strong's numbers, 3 Early-Church citations.

Hebrew interlinear — Ezekiel 1:1–28 (381 words)
1
  1. וַיְהִ֣י׀wayhîhayah: to exist; to be or becomeH1961
  2. בִּשְׁלֹשִׁ֣יםbišlōšîmshlowshiym: thirty; or (ordinal) thirtiethH7970
  3. שָׁנָ֗הšānâshaneh: a year (as a revolution of time)H8141
  4. בָּֽרְבִיעִי֙bārĕbîʿiyrbiy`iy: fourth; (fractionally) a fourthH7243
  5. בַּחֲמִשָּׁ֣הbaḥămiššâchamesh: fiveH2568
  6. לַחֹ֔דֶשׁlaḥōdešchodesh: the new moon; (by implication) a monthH2320
  7. וַאֲנִ֥יwaʾănîaniy: IH589
  8. בְתֽוֹךְbĕtôktavek: a bisection; (by implication) the centreH8432
  9. הַגּוֹלָ֖הhaggôlâgowlah: exile; (concretely, collectively) exilesH1473
  10. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  11. נְהַרnĕharnahar: a stream (including the sea; expec. the Nile, Euphrates, etc.)H5104
  12. כְּבָ֑רkĕbārKbar: length; Kebar, a river of MesopotamiaH3529
  13. נִפְתְּחוּ֙niptĕḥûpathach: to open wide (literally or figuratively)H6605
  14. הַשָּׁמַ֔יִםhaššāmayimshamayim: the sky (as aloft; the dual perhaps alluding to the visible arch in which the clouds move, as well as to the...H8064
  15. וָאֶרְאֶ֖הwāʾerʾera'ah: to see, literally or figuratively (in numerous applications, direct and implied, transitive, intransitive and...H7200
  16. מַרְא֥וֹתmarʾôtmar'ah: a vision; (causatively) a mirrorH4759
  17. אֱלֹהִֽים׃ʾĕlōhîmelohiym: gods in the ordinary sense; but specifically used (in the plural thus, especially with the article) of the...H430
2
  1. בַּחֲמִשָּׁ֖הbaḥămiššâchamesh: fiveH2568
  2. לַחֹ֑דֶשׁlaḥōdešchodesh: the new moon; (by implication) a monthH2320
  3. הִ֚יאhîʾhuw': (the third person pronoun singular) he, she, or it (only expressed when emphatic or without a verb)H1931
  4. הַשָּׁנָ֣הhaššānâshaneh: a year (as a revolution of time)H8141
  5. הַחֲמִישִׁ֔יתhaḥămîšîtchamiyshiy: fifth; also a fifthH2549
  6. לְגָל֖וּתlĕgālûtgaluwth: captivity; (collectively,concretely) exilesH1546
  7. הַמֶּ֥לֶךְhammelekmelek: a kingH4428
  8. יוֹיָכִֽין׃yôyākînYowyakiyn: Jojakin, an Israelite kingH3112
3
  1. הָיֹ֣הhāyōhayah: to exist; to be or becomeH1961
  2. הָיָ֣הhāyâhayah: to exist; to be or becomeH1961
  3. דְבַרdĕbardabar: a word; (by implication) a matter (as spoken of) or thingH1697
  4. יְ֠הוָהyĕhwâYhovah: (the) self-Existent or Eternal; Jehovah, Jewish national name of GodH3068
  5. אֶלʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  6. יְחֶזְקֵ֨אלyĕḥezqēlYchezqe'l: God will strengthen; Jechezkel, the name of two IsraelitesH3168
  7. בֶּןbenben: a son (as a builder of the family name), in the widest sense (of literal and figurative relationship, including...H1121
  8. בּוּזִ֧יbûzîBuwziy: Buzi, an IsraeliteH941
  9. הַכֹּהֵ֛ןhakkōhēnkohen: (literally) one officiating, a priest; (also, by courtesy) an acting priest (although a layman)H3548
  10. בְּאֶ֥רֶץbĕʾereṣerets: the earth (at large, or partitively a land)H776
  11. כַּשְׂדִּ֖יםkaśdîmKasdiy: into Chaldea), patronymically from H3777 (only in the plural)H3778
  12. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  13. נְהַרnĕharnahar: a stream (including the sea; expec. the Nile, Euphrates, etc.)H5104
  14. כְּבָ֑רkĕbārKbar: length; Kebar, a river of MesopotamiaH3529
  15. וַתְּהִ֥יwattĕhîhayah: to exist; to be or becomeH1961
  16. עָלָ֛יוʿālāyw`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  17. שָׁ֖םšāmsham: there (transferring to time) then; often thither, or thenceH8033
  18. יַדyadyad: a hand (the open one (indicating power, means, direction, etc.), in distinction from H3709, the closed one)H3027
  19. יְהוָֽה׃yĕhwâYhovah: (the) self-Existent or Eternal; Jehovah, Jewish national name of GodH3068
4
  1. וָאֵ֡רֶאwāʾēreʾra'ah: to see, literally or figuratively (in numerous applications, direct and implied, transitive, intransitive and...H7200
  2. וְהִנֵּה֩wĕhinnēhhinneh: lo!H2009
  3. ר֨וּחַrûaḥruwach: wind; by resemblance breath, i.e. a sensible (or even violent) exhalationH7307
  4. סְעָרָ֜הsĕʿārâca`ar: a hurricaneH5591
  5. בָּאָ֣הbāʾâbow': to go or come (in a wide variety of applications)H935
  6. מִןminmin: (properly) a part of; (hence, prepositionally) from or out of (in many senses)H4480
  7. הַצָּפ֗וֹןhaṣṣāpôntsaphown: (properly) hidden, i.e. dark; used only of the north as a quarter (gloomy and unknown)H6828
  8. עָנָ֤ןʿānān`anan: a cloud (as covering the sky), i.e. the nimbus or thunder-cloudH6051
  9. גָּדוֹל֙gādôlgadowl: great (in any sense); (hence) olderH1419
  10. וְאֵ֣שׁwĕʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
  11. מִתְלַקַּ֔חַתmitlaqqaḥatlaqach: to take (in the widest variety of applications)H3947
  12. וְנֹ֥גַֽהּwĕnōgahnogahh: brilliancy (literally or figuratively)H5051
  13. ל֖וֹlô
  14. סָבִ֑יבsābîbcabiyb: (as noun) a circle, neighbour, or environsH5439
  15. וּמִ֨תּוֹכָ֔הּûmittôkāhtavek: a bisection; (by implication) the centreH8432
  16. כְּעֵ֥יןkĕʿên`ayin: an eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)H5869
  17. הַחַשְׁמַ֖לhaḥašmalchashmal: probably bronze or polished spectrum metalH2830
  18. מִתּ֥וֹךְmittôktavek: a bisection; (by implication) the centreH8432
  19. הָאֵֽשׁ׃hāʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
5
  1. וּמִ֨תּוֹכָ֔הּûmittôkāhtavek: a bisection; (by implication) the centreH8432
  2. דְּמ֖וּתdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  3. אַרְבַּ֣עʾarbaʿarba`: fourH702
  4. חַיּ֑וֹתḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  5. וְזֶה֙wĕzehzeh: the masculine demonstrative pronoun, this or thatH2088
  6. מַרְאֵֽיהֶ֔ןmarʾêhenmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  7. דְּמ֥וּתdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  8. אָדָ֖םʾādāmadam: ruddy i.e. a human being (an individual or the species, mankind, etc.)H120
  9. לָהֵֽנָּה׃lāhēnnâhennah: themselves (often used emphatic for the copula, also in indirect relation)H2007
6
  1. וְאַרְבָּעָ֥הwĕʾarbāʿâarba`: fourH702
  2. פָנִ֖יםpānîmpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  3. לְאֶחָ֑תlĕʾeḥātechad: (properly) united, i.e. one; (as an ordinal) firstH259
  4. וְאַרְבַּ֥עwĕʾarbaʿarba`: fourH702
  5. כְּנָפַ֖יִםkĕnāpayimkanaph: an edge or extremityH3671
  6. לְאַחַ֥תlĕʾaḥatechad: (properly) united, i.e. one; (as an ordinal) firstH259
7
  1. וְרַגְלֵיהֶ֖םwĕraglêhemregel: a foot (as used in walking); (by implication) a stepH7272
  2. רֶ֣גֶלregelregel: a foot (as used in walking); (by implication) a stepH7272
  3. יְשָׁרָ֑הyĕšārâyashar: straightH3477
  4. וְכַ֣ףwĕkapkaph: the hollow hand or palm (so of the paw of an animal, of the sole, and even of the bowl of a dish or sling, the...H3709
  5. רַגְלֵיהֶ֗םraglêhemregel: a foot (as used in walking); (by implication) a stepH7272
  6. כְּכַף֙kĕkapkaph: the hollow hand or palm (so of the paw of an animal, of the sole, and even of the bowl of a dish or sling, the...H3709
  7. רֶ֣גֶלregelregel: a foot (as used in walking); (by implication) a stepH7272
  8. עֵ֔גֶלʿēgel`egel: a (male) calf (as frisking round), especially one nearly grown (i.e. a steer)H5695
  9. וְנֹ֣צְצִ֔יםwĕnōṣĕṣîmnatsats: to glare, i.e. be bright- coloredH5340
  10. כְּעֵ֖יןkĕʿên`ayin: an eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)H5869
  11. נְחֹ֥שֶׁתnĕḥōšetnchosheth: copper; (hence) something made of copper, i.e. a coin, a shackleH5178
  12. קָלָֽל׃qālālqalal: brightened (as if sharpened)H7044
8
  1. וִידֵ֣וwîdēwyad: a hand (the open one (indicating power, means, direction, etc.), in distinction from H3709, the closed one)H3027
  2. אָדָ֗םʾādāmadam: ruddy i.e. a human being (an individual or the species, mankind, etc.)H120
  3. מִתַּ֙חַת֙mittaḥattachath: the bottom (as depressed); only adverbially, below (often with prepositional prefix underneath), in lieu of...H8478
  4. כַּנְפֵיהֶ֔םkanpêhemkanaph: an edge or extremityH3671
  5. עַ֖לʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  6. אַרְבַּ֣עַתʾarbaʿatarba`: fourH702
  7. רִבְעֵיהֶ֑םribʿêhemreba`: a fourth (part or side)H7253
  8. וּפְנֵיהֶ֥םûpĕnêhempaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  9. וְכַנְפֵיהֶ֖םwĕkanpêhemkanaph: an edge or extremityH3671
  10. לְאַרְבַּעְתָּֽם׃lĕʾarbaʿtāmarba`: fourH702
9
  1. חֹֽבְרֹ֛תḥōbĕrōtchabar: to join (literally or figuratively); specifically (by means of spells) to fascinateH2266
  2. אִשָּׁ֥הʾiššâishshah: irregular plural, nashiym {naw-sheem'}; a woman (used in the same wide sense as H0582)H802
  3. אֶלʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  4. אֲחוֹתָ֖הּʾăḥôtāhachowth: a sister (used very widely (like H0250), literally and figuratively)H269
  5. כַּנְפֵיהֶ֑םkanpêhemkanaph: an edge or extremityH3671
  6. לֹאlōʾlo': (the simple or absolute negation) not; (by implication) noH3808
  7. יִסַּ֣בּוּyissabbûcabab: to revolve, surround, or border; used in various applications, literally and figuratively (as follows)H5437
  8. בְלֶכְתָּ֔ןbĕlektānhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  9. אִ֛ישׁʾîšiysh: a man as an individual or a male personH376
  10. אֶלʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  11. עֵ֥בֶרʿēber`eber: (properly) a region acrossH5676
  12. פָּנָ֖יוpānāywpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  13. יֵלֵֽכוּ׃yēlēkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
10
  1. וּדְמ֣וּתûdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  2. פְּנֵיהֶם֮pĕnêhempaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  3. פְּנֵ֣יpĕnêpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  4. אָדָם֒ʾādāmadam: ruddy i.e. a human being (an individual or the species, mankind, etc.)H120
  5. וּפְנֵ֨יûpĕnêpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  6. אַרְיֵ֤הʾaryēariy: a lionH738
  7. אֶלʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  8. הַיָּמִין֙hayyāmînyamiyn: the right hand or side (leg, eye) of a person or other object (as the stronger and more dexterous)H3225
  9. לְאַרְבַּעְתָּ֔םlĕʾarbaʿtāmarba`: fourH702
  10. וּפְנֵיûpĕnêpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  11. שׁ֥וֹרšôrshowr: a bullock (as a traveller)H7794
  12. מֵֽהַשְּׂמֹ֖אולmēhaśśĕmōwlsmo'wl: (properly) dark (as enveloped), i.e. the northH8040
  13. לְאַרְבַּעְתָּ֑ןlĕʾarbaʿtānarba`: fourH702
  14. וּפְנֵיûpĕnêpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  15. נֶ֖שֶׁרnešernesher: the eagle (or other large bird of prey)H5404
  16. לְאַרְבַּעְתָּֽן׃lĕʾarbaʿtānarba`: fourH702
11
  1. וּפְנֵיהֶ֕םûpĕnêhempaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  2. וְכַנְפֵיהֶ֥םwĕkanpêhemkanaph: an edge or extremityH3671
  3. פְּרֻד֖וֹתpĕrudôtparad: to break through, i.e. spread or separate (oneself)H6504
  4. מִלְמָ֑עְלָהmilmāʿĕlâma`al: (properly) the upper part, used only adverbially with prefix upward, above, overhead, from the top, etcH4605
  5. לְאִ֗ישׁlĕʾîšiysh: a man as an individual or a male personH376
  6. שְׁ֚תַּיִםšĕttayimshnayim: two; (as ordinal) twofoldH8147
  7. חֹבְר֣וֹתḥōbĕrôtchabar: to join (literally or figuratively); specifically (by means of spells) to fascinateH2266
  8. אִ֔ישׁʾîšiysh: a man as an individual or a male personH376
  9. וּשְׁתַּ֣יִםûšĕttayimshnayim: two; (as ordinal) twofoldH8147
  10. מְכַסּ֔וֹתmĕkassôtkacah: (properly) to plump, i.e. fill up hollowsH3680
  11. אֵ֖תʾēteth: (properly) self; (generally) used to point out the object of a verb (or preposition) more definitelyH853
  12. גְּוִיֹתֵיהֶֽנָה׃gĕwiyōtêhenâgviyah: a body, whether alive or deadH1472
12
  1. וְאִ֛ישׁwĕʾîšiysh: a man as an individual or a male personH376
  2. אֶלʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  3. עֵ֥בֶרʿēber`eber: (properly) a region acrossH5676
  4. פָּנָ֖יוpānāywpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  5. יֵלֵ֑כוּyēlēkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  6. אֶ֣לʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  7. אֲשֶׁר֩ʾăšeraher: who, which, what, that; (as adverb) when, where, howH834
  8. יִֽהְיֶהyihĕyehayah: to exist; to be or becomeH1961
  9. שָׁ֨מָּהšāmmâsham: there (transferring to time) then; often thither, or thenceH8033
  10. הָר֤וּחַhārûaḥruwach: wind; by resemblance breath, i.e. a sensible (or even violent) exhalationH7307
  11. לָלֶ֙כֶת֙lālekethalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  12. יֵלֵ֔כוּyēlēkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  13. לֹ֥אlōʾlo': (the simple or absolute negation) not; (by implication) noH3808
  14. יִסַּ֖בּוּyissabbûcabab: to revolve, surround, or border; used in various applications, literally and figuratively (as follows)H5437
  15. בְּלֶכְתָּֽן׃bĕlektānhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
13
  1. וּדְמ֨וּתûdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  2. הַחַיּ֜וֹתhaḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  3. מַרְאֵיהֶ֣םmarʾêhemmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  4. כְּגַחֲלֵיkĕgaḥălêgechel: an emberH1513
  5. אֵ֗שׁʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
  6. בֹּֽעֲרוֹת֙bōʿărôtba`ar: to kindle; to consume (by fire or by eating)H1197
  7. כְּמַרְאֵ֣הkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  8. הַלַּפִּדִ֔יםhallappidîmlappiyd: a flambeau, lamp or flameH3940
  9. הִ֕יאhîʾhuw': (the third person pronoun singular) he, she, or it (only expressed when emphatic or without a verb)H1931
  10. מִתְהַלֶּ֖כֶתmithallekethalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  11. בֵּ֣יןbênbeyn: a distinction; (but used only as a prep) between (repeated before each noun, often with other particles)H996
  12. הַחַיּ֑וֹתhaḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  13. וְנֹ֣גַהּwĕnōgahnogahh: brilliancy (literally or figuratively)H5051
  14. לָאֵ֔שׁlāʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
  15. וּמִןûminmin: (properly) a part of; (hence, prepositionally) from or out of (in many senses)H4480
  16. הָאֵ֖שׁhāʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
  17. יוֹצֵ֥אyôṣēʾyatsa': to go out; (causatively) to bring outH3318
  18. בָרָֽק׃bārāqbaraq: lightning; (by analogy) a gleamH1300
14
  1. וְהַחַיּ֖וֹתwĕhaḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  2. רָצ֣וֹאrāṣôʾratsa': to run; also to delight inH7519
  3. וָשׁ֑וֹבwāšôbshuwb: to turn back (hence, away) transitively or intransitively, literally or figuratively (not necessarily with the...H7725
  4. כְּמַרְאֵ֖הkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  5. הַבָּזָֽק׃habbāzāqbazaq: a flash of lightningH965
15
  1. וָאֵ֖רֶאwāʾēreʾra'ah: to see, literally or figuratively (in numerous applications, direct and implied, transitive, intransitive and...H7200
  2. הַחַיּ֑וֹתhaḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  3. וְהִנֵּה֩wĕhinnēhhinneh: lo!H2009
  4. אוֹפַ֨ןʾôpanowphan: a wheelH212
  5. אֶחָ֥דʾeḥādechad: (properly) united, i.e. one; (as an ordinal) firstH259
  6. בָּאָ֛רֶץbāʾāreṣerets: the earth (at large, or partitively a land)H776
  7. אֵ֥צֶלʾēṣeletsel: a side; (as a preposition) nearH681
  8. הַחַיּ֖וֹתhaḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  9. לְאַרְבַּ֥עַתlĕʾarbaʿatarba`: fourH702
  10. פָּנָֽיו׃pānāywpaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
16
  1. מַרְאֵ֨הmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  2. הָאוֹפַנִּ֤יםhāʾôpannîmowphan: a wheelH212
  3. וּמַעֲשֵׂיהֶם֙ûmaʿăśêhemma`aseh: an action (good or bad); (generally) a transactionH4639
  4. כְּעֵ֣יןkĕʿên`ayin: an eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)H5869
  5. תַּרְשִׁ֔ישׁtaršîštarshiysh: a gem, perhaps the topazH8658
  6. וּדְמ֥וּתûdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  7. אֶחָ֖דʾeḥādechad: (properly) united, i.e. one; (as an ordinal) firstH259
  8. לְאַרְבַּעְתָּ֑ןlĕʾarbaʿtānarba`: fourH702
  9. וּמַרְאֵיהֶם֙ûmarʾêhemmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  10. וּמַ֣עֲשֵׂיהֶ֔םûmaʿăśêhemma`aseh: an action (good or bad); (generally) a transactionH4639
  11. כַּאֲשֶׁ֛רkaʾăšeraher: who, which, what, that; (as adverb) when, where, howH834
  12. יִהְיֶ֥הyihyehayah: to exist; to be or becomeH1961
  13. הָאוֹפַ֖ןhāʾôpanowphan: a wheelH212
  14. בְּת֥וֹךְbĕtôktavek: a bisection; (by implication) the centreH8432
  15. הָאוֹפָֽן׃hāʾôpānowphan: a wheelH212
17
  1. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  2. אַרְבַּ֥עַתʾarbaʿatarba`: fourH702
  3. רִבְעֵיהֶ֖ןribʿêhenreba`: a fourth (part or side)H7253
  4. בְּלֶכְתָּ֣םbĕlektāmhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  5. יֵלֵ֑כוּyēlēkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  6. לֹ֥אlōʾlo': (the simple or absolute negation) not; (by implication) noH3808
  7. יִסַּ֖בּוּyissabbûcabab: to revolve, surround, or border; used in various applications, literally and figuratively (as follows)H5437
  8. בְּלֶכְתָּֽן׃bĕlektānhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
18
  1. וְגַ֨בֵּיהֶ֔ןwĕgabbêhengab: the back (as rounded); by analogy, the top or rim, a boss, a vault, arch of eye, bulwarks, etcH1354
  2. וְגֹ֥בַהּwĕgōbahgobahh: elation, grandeur, arroganceH1363
  3. לָהֶ֖םlāhemhem: they (only used when emphatic)H1992
  4. וְיִרְאָ֣הwĕyirʾâyir'ah: fear (also used as infinitive); morally, reverenceH3374
  5. לָהֶ֑םlāhemhem: they (only used when emphatic)H1992
  6. וְגַבֹּתָ֗םwĕgabbōtāmgab: the back (as rounded); by analogy, the top or rim, a boss, a vault, arch of eye, bulwarks, etcH1354
  7. מְלֵאֹ֥תmĕlēʾōtmale': full (literally or figuratively); (literally) fillingH4392
  8. עֵינַ֛יִםʿênayim`ayin: an eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)H5869
  9. סָבִ֖יבsābîbcabiyb: (as noun) a circle, neighbour, or environsH5439
  10. לְאַרְבַּעְתָּֽן׃lĕʾarbaʿtānarba`: fourH702
19
  1. וּבְלֶ֙כֶת֙ûbĕlekethalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  2. הַֽחַיּ֔וֹתhaḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  3. יֵלְכ֥וּyēlĕkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  4. הָאוֹפַנִּ֖יםhāʾôpannîmowphan: a wheelH212
  5. אֶצְלָ֑םʾeṣlāmetsel: a side; (as a preposition) nearH681
  6. וּבְהִנָּשֵׂ֤אûbĕhinnāśēʾnasa': to lift, in a great variety of applications, literal and figurative, absol. and rel. (as follows)H5375
  7. הַֽחַיּוֹת֙haḥayyôtchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  8. מֵעַ֣לmēʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  9. הָאָ֔רֶץhāʾāreṣerets: the earth (at large, or partitively a land)H776
  10. יִנָּשְׂא֖וּyinnośʾûnasa': to lift, in a great variety of applications, literal and figurative, absol. and rel. (as follows)H5375
  11. הָאוֹפַנִּֽים׃hāʾôpannîmowphan: a wheelH212
20
  1. עַ֣לʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  2. אֲשֶׁר֩ʾăšeraher: who, which, what, that; (as adverb) when, where, howH834
  3. יִֽהְיֶהyihĕyehayah: to exist; to be or becomeH1961
  4. שָּׁ֨םšāmsham: there (transferring to time) then; often thither, or thenceH8033
  5. הָר֤וּחַhārûaḥruwach: wind; by resemblance breath, i.e. a sensible (or even violent) exhalationH7307
  6. לָלֶ֙כֶת֙lālekethalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  7. יֵלֵ֔כוּyēlēkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  8. שָׁ֥מָּהšāmmâsham: there (transferring to time) then; often thither, or thenceH8033
  9. הָר֖וּחַhārûaḥruwach: wind; by resemblance breath, i.e. a sensible (or even violent) exhalationH7307
  10. לָלֶ֑כֶתlālekethalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  11. וְהָאוֹפַנִּ֗יםwĕhāʾôpannîmowphan: a wheelH212
  12. יִנָּשְׂאוּ֙yinnośʾûnasa': to lift, in a great variety of applications, literal and figurative, absol. and rel. (as follows)H5375
  13. לְעֻמָּתָ֔םlĕʿummātām`ummah: conjunction, i.e. society; mostly adverb or preposition (with prepositional prefix), near, beside, along withH5980
  14. כִּ֛יkîkiy: (by implication) very widely used as a relative conjunction or adverb (as below)H3588
  15. ר֥וּחַrûaḥruwach: wind; by resemblance breath, i.e. a sensible (or even violent) exhalationH7307
  16. הַחַיָּ֖הhaḥayyâchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  17. בָּאוֹפַנִּֽים׃bāʾôpannîmowphan: a wheelH212
21
  1. בְּלֶכְתָּ֣םbĕlektāmhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  2. יֵלֵ֔כוּyēlēkûhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  3. וּבְעָמְדָ֖םûbĕʿomdām`amad: to stand, in various relations (literal and figurative, intransitive and transitive)H5975
  4. יַֽעֲמֹ֑דוּyaʿămōdû`amad: to stand, in various relations (literal and figurative, intransitive and transitive)H5975
  5. וּֽבְהִנָּשְׂאָ֞םûbĕhinnośʾāmnasa': to lift, in a great variety of applications, literal and figurative, absol. and rel. (as follows)H5375
  6. מֵעַ֣לmēʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  7. הָאָ֗רֶץhāʾāreṣerets: the earth (at large, or partitively a land)H776
  8. יִנָּשְׂא֤וּyinnośʾûnasa': to lift, in a great variety of applications, literal and figurative, absol. and rel. (as follows)H5375
  9. הָאֽוֹפַנִּים֙hāʾôpannîmowphan: a wheelH212
  10. לְעֻמָּתָ֔םlĕʿummātām`ummah: conjunction, i.e. society; mostly adverb or preposition (with prepositional prefix), near, beside, along withH5980
  11. כִּ֛יkîkiy: (by implication) very widely used as a relative conjunction or adverb (as below)H3588
  12. ר֥וּחַrûaḥruwach: wind; by resemblance breath, i.e. a sensible (or even violent) exhalationH7307
  13. הַחַיָּ֖הhaḥayyâchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  14. בָּאוֹפַנִּֽים׃bāʾôpannîmowphan: a wheelH212
22
  1. וּדְמ֞וּתûdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  2. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  3. רָאשֵׁ֤יrāʾšêro'sh: the head (as most easily shaken), whether literal or figurative (in many applications, of place, time, rank...H7218
  4. הַחַיָּה֙haḥayyāhchay: alive; (hence) raw (flesh)H2416
  5. רָקִ֔יעַrāqîaʿraqiya`: (properly) an expanse, i.e. the firmament or (apparently) visible arch of the skyH7549
  6. כְּעֵ֖יןkĕʿên`ayin: an eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)H5869
  7. הַקֶּ֣רַחhaqqeraḥqerach: ice (as if bald, i.e. smooth); (hence) hailH7140
  8. הַנּוֹרָ֑אhannôrāʾyare': to fear; morally, to revereH3372
  9. נָט֥וּיnāṭûynatah: to stretch or spread out; (by implication) to bend away (including moral deflection)H5186
  10. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  11. רָאשֵׁיהֶ֖םrāʾšêhemro'sh: the head (as most easily shaken), whether literal or figurative (in many applications, of place, time, rank...H7218
  12. מִלְמָֽעְלָה׃milmāʿĕlâma`al: (properly) the upper part, used only adverbially with prefix upward, above, overhead, from the top, etcH4605
23
  1. וְתַ֙חַת֙wĕtaḥattachath: the bottom (as depressed); only adverbially, below (often with prepositional prefix underneath), in lieu of...H8478
  2. הָרָקִ֔יעַhārāqîaʿraqiya`: (properly) an expanse, i.e. the firmament or (apparently) visible arch of the skyH7549
  3. כַּנְפֵיהֶ֣םkanpêhemkanaph: an edge or extremityH3671
  4. יְשָׁר֔וֹתyĕšārôtyashar: straightH3477
  5. אִשָּׁ֖הʾiššâishshah: irregular plural, nashiym {naw-sheem'}; a woman (used in the same wide sense as H0582)H802
  6. אֶלʾelel: (properly) denoting motion towards, but occasionally used of a quiescent position, i.e. near, with or amongH413
  7. אֲחוֹתָ֑הּʾăḥôtāhachowth: a sister (used very widely (like H0250), literally and figuratively)H269
  8. לְאִ֗ישׁlĕʾîšiysh: a man as an individual or a male personH376
  9. שְׁתַּ֤יִםšĕttayimshnayim: two; (as ordinal) twofoldH8147
  10. מְכַסּוֹת֙mĕkassôtkacah: (properly) to plump, i.e. fill up hollowsH3680
  11. לָהֵ֔נָּהlāhēnnâhennah: themselves (often used emphatic for the copula, also in indirect relation)H2007
  12. וּלְאִ֗ישׁûlĕʾîšiysh: a man as an individual or a male personH376
  13. שְׁתַּ֤יִםšĕttayimshnayim: two; (as ordinal) twofoldH8147
  14. מְכַסּוֹת֙mĕkassôtkacah: (properly) to plump, i.e. fill up hollowsH3680
  15. לָהֵ֔נָּהlāhēnnâhennah: themselves (often used emphatic for the copula, also in indirect relation)H2007
  16. אֵ֖תʾēteth: (properly) self; (generally) used to point out the object of a verb (or preposition) more definitelyH853
  17. גְּוִיֹּתֵיהֶֽם׃gĕwiyyōtêhemgviyah: a body, whether alive or deadH1472
24
  1. וָאֶשְׁמַ֣עwāʾešmaʿshama`: to hear intelligently (often with implication of attention, obedience, etcH8085
  2. אֶתʾeteth: (properly) self; (generally) used to point out the object of a verb (or preposition) more definitelyH853
  3. ק֣וֹלqôlqowl: a voice or soundH6963
  4. כַּנְפֵיהֶ֡םkanpêhemkanaph: an edge or extremityH3671
  5. כְּקוֹל֩kĕqôlqowl: a voice or soundH6963
  6. מַ֨יִםmayimmayim: water; (figuratively) juiceH4325
  7. רַבִּ֤יםrabbîmrab: abundant (in quantity, size, age, number, rank, quality)H7227
  8. כְּקוֹלkĕqôlqowl: a voice or soundH6963
  9. שַׁדַּי֙šaddayShadday: the AlmightyH7706
  10. בְּלֶכְתָּ֔םbĕlektāmhalak: a primitive root; to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively)H1980
  11. ק֥וֹלqôlqowl: a voice or soundH6963
  12. הֲמֻלָּ֖הhămullâhamullah: a soundH1999
  13. כְּק֣וֹלkĕqôlqowl: a voice or soundH6963
  14. מַחֲנֶ֑הmaḥănemachaneh: an encampment (of travellers or troops)H4264
  15. בְּעָמְדָ֖םbĕʿomdām`amad: to stand, in various relations (literal and figurative, intransitive and transitive)H5975
  16. תְּרַפֶּ֥ינָהtĕrappênâraphah: to slacken (in many applications, literal or figurative)H7503
  17. כַנְפֵיהֶֽן׃kanpêhenkanaph: an edge or extremityH3671
25
  1. וַיְהִיwayhîhayah: to exist; to be or becomeH1961
  2. ק֕וֹלqôlqowl: a voice or soundH6963
  3. מֵעַ֕לmēʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  4. לָרָקִ֖יעַlārāqîaʿraqiya`: (properly) an expanse, i.e. the firmament or (apparently) visible arch of the skyH7549
  5. אֲשֶׁ֣רʾăšeraher: who, which, what, that; (as adverb) when, where, howH834
  6. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  7. רֹאשָׁ֑םrōʾšāmro'sh: the head (as most easily shaken), whether literal or figurative (in many applications, of place, time, rank...H7218
  8. בְּעָמְדָ֖םbĕʿomdām`amad: to stand, in various relations (literal and figurative, intransitive and transitive)H5975
  9. תְּרַפֶּ֥ינָהtĕrappênâraphah: to slacken (in many applications, literal or figurative)H7503
  10. כַנְפֵיהֶֽן׃kanpêhenkanaph: an edge or extremityH3671
26
  1. וּמִמַּ֗עַלûmimmaʿalma`al: (properly) the upper part, used only adverbially with prefix upward, above, overhead, from the top, etcH4605
  2. לָרָקִ֙יעַ֙lārāqîʿaraqiya`: (properly) an expanse, i.e. the firmament or (apparently) visible arch of the skyH7549
  3. אֲשֶׁ֣רʾăšeraher: who, which, what, that; (as adverb) when, where, howH834
  4. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  5. רֹאשָׁ֔םrōʾšāmro'sh: the head (as most easily shaken), whether literal or figurative (in many applications, of place, time, rank...H7218
  6. כְּמַרְאֵ֥הkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  7. אֶֽבֶןʾebeneben: a stoneH68
  8. סַפִּ֖ירsappîrcappiyr: a gem (perhaps used for scratching other substances), probably the sapphireH5601
  9. דְּמ֣וּתdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  10. כִּסֵּ֑אkissēʾkicce': (properly) covered, i.e. a throne (as canopied)H3678
  11. וְעַל֙wĕʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  12. דְּמ֣וּתdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  13. הַכִּסֵּ֔אhakkissēʾkicce': (properly) covered, i.e. a throne (as canopied)H3678
  14. דְּמ֞וּתdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  15. כְּמַרְאֵ֥הkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  16. אָדָ֛םʾādāmadam: ruddy i.e. a human being (an individual or the species, mankind, etc.)H120
  17. עָלָ֖יוʿālāyw`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  18. מִלְמָֽעְלָה׃milmāʿĕlâma`al: (properly) the upper part, used only adverbially with prefix upward, above, overhead, from the top, etcH4605
27
  1. וָאֵ֣רֶא׀wāʾēreʾra'ah: to see, literally or figuratively (in numerous applications, direct and implied, transitive, intransitive and...H7200
  2. כְּעֵ֣יןkĕʿên`ayin: an eye (literally or figuratively); by analogy, a fountain (as the eye of the landscape)H5869
  3. חַשְׁמַ֗לḥašmalchashmal: probably bronze or polished spectrum metalH2830
  4. כְּמַרְאֵהkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  5. אֵ֤שׁʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
  6. בֵּֽיתbêtbayith: a house (in the greatest variation of applications, especially family, etc.)H1004
  7. לָהּ֙lāh
  8. סָבִ֔יבsābîbcabiyb: (as noun) a circle, neighbour, or environsH5439
  9. מִמַּרְאֵ֥הmimmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  10. מָתְנָ֖יוmotnāywmothen: (properly) the waist or small of the backH4975
  11. וּלְמָ֑עְלָהûlĕmāʿĕlâma`al: (properly) the upper part, used only adverbially with prefix upward, above, overhead, from the top, etcH4605
  12. וּמִמַּרְאֵ֤הûmimmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  13. מָתְנָיו֙motnāywmothen: (properly) the waist or small of the backH4975
  14. וּלְמַ֔טָּהûlĕmaṭṭâmattah: downward, below or beneath; often adverbially with or without prefixesH4295
  15. רָאִ֙יתִי֙rāʾîtiyra'ah: to see, literally or figuratively (in numerous applications, direct and implied, transitive, intransitive and...H7200
  16. כְּמַרְאֵהkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  17. אֵ֔שׁʾēšesh: fire (literally or figuratively)H784
  18. וְנֹ֥גַֽהּwĕnōgahnogahh: brilliancy (literally or figuratively)H5051
  19. ל֖וֹlô
  20. סָבִֽיב׃sābîbcabiyb: (as noun) a circle, neighbour, or environsH5439
28
  1. כְּמַרְאֵ֣הkĕmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  2. הַקֶּ֡שֶׁתhaqqešetqesheth: X arch(-er), + arrow, bow((-man, -shot))H7198
  3. אֲשֶׁר֩ʾăšeraher: who, which, what, that; (as adverb) when, where, howH834
  4. יִֽהְיֶ֨הyihĕyehayah: to exist; to be or becomeH1961
  5. בֶעָנָ֜ןbeʿānān`anan: a cloud (as covering the sky), i.e. the nimbus or thunder-cloudH6051
  6. בְּי֣וֹםbĕyômyowm: a day (as the warm hours), whether literal (from sunrise to sunset, or from one sunset to the next), or...H3117
  7. הַגֶּ֗שֶׁםhaggešemgeshem: a showerH1653
  8. כֵּ֣ןkēnken: (properly) set upright; hence (figuratively as adjective) justH3651
  9. מַרְאֵ֤הmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  10. הַנֹּ֙גַהּ֙hannōgahnogahh: brilliancy (literally or figuratively)H5051
  11. סָבִ֔יבsābîbcabiyb: (as noun) a circle, neighbour, or environsH5439
  12. ה֕וּאhûʾhuw': (the third person pronoun singular) he, she, or it (only expressed when emphatic or without a verb)H1931
  13. מַרְאֵ֖הmarʾēmar'eh: a view (the act of seeing)H4758
  14. דְּמ֣וּתdĕmûtdmuwth: resemblance; (concretely) model, shapeH1823
  15. כְּבוֹדkĕbôdkabowd: (properly) weight, but only figuratively in a good sense, splendor or copiousnessH3519
  16. יְהוָ֑הyĕhwâYhovah: (the) self-Existent or Eternal; Jehovah, Jewish national name of GodH3068
  17. וָֽאֶרְאֶה֙wāʾerʾehra'ah: to see, literally or figuratively (in numerous applications, direct and implied, transitive, intransitive and...H7200
  18. וָאֶפֹּ֣לwāʾeppōlnaphal: to fall, in a great variety of applications (intransitive or causative, literal or figurative)H5307
  19. עַלʿal`al: above, over, upon, or against (yet always in this last relation with a downward aspect) in a great variety of...H5921
  20. פָּנַ֔יpānaypaniym: the face (as the part that turns); (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc.H6440
  21. וָאֶשְׁמַ֖עwāʾešmaʿshama`: to hear intelligently (often with implication of attention, obedience, etcH8085
  22. ק֥וֹלqôlqowl: a voice or soundH6963
  23. מְדַבֵּֽר׃mĕdabbērdabar: perhaps properly, to arrange; but used figuratively (of words), to speakH1696

View the full Hebrew interlinear for Ezekiel 1 →

Strong's words in Ezekiel 1 (6)
Strong's H1980 — בְלֶכְתָּ֔ן (bĕlektān)
halak (haw-lak') v. 1. a primitive root 2. to walk (in a great variety of applications, literally and figuratively) [akin to H3212] KJV: (all) along, apace, behave (self), come, (on) continually, be c. Appears 18 times in Ezekiel 1.
Strong's H4758 — מַרְאֵֽיהֶ֔ן (marʾêhen)
mar'eh (mar-eh') n-m. 1. a view (the act of seeing) 2. also an appearance (the thing seen), whether (real) a shape (especially if handsome, comeliness 3. often plural the looks), or (mental) a vision [from H7200] KJV: X apparently, appearance(-reth), X as soon as beautiful(-ly), countenance, fair, favoured, form, goodly, to look (up) on (to), look(-eth), pattern, to see, seem, sight, visage, vision. Root(s): H7200. Appears 15 times in Ezekiel 1.
Strong's H6440 — פָנִ֖ים (pānîm)
paniym (paw-neem') (plural (but always as singular) of an unused noun (paneh {paw-neh'}) n-m. 1. the face (as the part that turns) 2. (with prepositional prefix, as a preposition) before, etc. {used in a great variety of applications, literally and figuratively} [from H6437] KJV: + accept, a-(be- )fore(-time), against, anger, X as (long as), at, + battle, + because (of), + beseech, countenance, edge, + employ, endure, + enquire, face, favour, fear of, for, forefront(-part), form(-er time, -ward), from, front, heaviness, X him(-self), + honourable, + impudent, + in, it, look(-eth) (- s), X me, + meet, X more than, mouth, of, off, (of) old (time), X on, open, + out of, over against, the partial, person, + please, presence, propect, was purposed, by reason of, + regard, right forth, + serve, X shewbread, sight, state, straight, + street, X thee, X them(-selves), through (+ - out), till, time(-s) past, (un-)to(-ward), + upon, upside (+ down), with(- in, + -stand), X ye, X you. Root(s): H6437. Appears 12 times in Ezekiel 1.
Strong's H702 — אַרְבַּ֣ע (ʾarbaʿ)
arba` (ar-bah') (masculine oarbaah {ar-baw-aw'}) adj. 1. four [from H7251] KJV: four. Root(s): H7251. Appears 12 times in Ezekiel 1.
Strong's H2416 — חַיּ֑וֹת (ḥayyôt)
chay (khah'-ee) adj. 1. alive 2. (hence) raw (flesh) 3. fresh (plant, water, year), strong 4. (as noun, especially in the feminine singular and masculine plural) life (or living thing), whether literally or figuratively [from H2421] KJV: + age, alive, appetite, (wild) beast, company, congregation, life(-time), live(-ly), living (creature, thing), maintenance, + merry, multitude, + (be) old, quick, raw, running, springing, troop. Root(s): H2421. Appears 11 times in Ezekiel 1.
Strong's H1823 — דְּמ֖וּת (dĕmût)
dmuwth (dem-ooth') n-f. 1. resemblance 2. (concretely) model, shape 3. (adverbially) like [from H1819] KJV: fashion, like (-ness, as), manner, similitude. Root(s): H1819. Appears 10 times in Ezekiel 1.

Browse the full Strong's concordance →

What the Early Church wrote about Ezekiel 1 (2 additional)
  • “The cherubim are interpreted as the fullness of knowledge. Whoever is full of skill becomes a cherub that God drives.”

    — Origen (3rd century) on Ezekiel 1:5
  • ““The one animal,” he says, “had four figures”; because each figure is a Gospel, it appears in a fourfold fashion. The first figure, he says, which was like an ox, indicates the priestly glory of Jesus, which Luke depicts. The second, which was like a lion, indicates the leader...”

    — Hippolytus (3rd century) on Ezekiel 1:5

Read the full Ante-Nicene Fathers library →

0:00 0:00

Video Bible

Loading video...

Scripture video provided by Faith Comes By Hearing

🌐 Select Language

2883 Bibles in 2502 Languages

Select Translation

Congratulations!

You completed the book of Matthew!

Points Earned +280
28 Chapters
15% NT Progress