Wana Baraka - Shenandoah Christian Music Camp
Description
Wana Baraka
Words by Traditional KenyanMusic by Traditional KenyanTune WANA BARAKA
Wana baraka wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana baraka wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana amani wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana amani wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana furaha wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana furaha wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana uzima wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.
Wana uzima wale waombao,
Yesu mwenyewe alisema.